MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
HIVI WATU WANGAPI HUMU WAKO KWENYE PAYROLL YA mBOWE NA MENGI?
I'VE LOST COUNT
Si ndiyo wewe ulianzisha thread ukawa unasema Mengi sijui na yeye anayake? Kwa hiyo na wewe tuseme upo kwenye payroll ya RA na YM? Mwisho ukasema umeanzishiwa thread. If you want people to listen to your opinons you should also be open minded to others ideas.
Ukiangalia hii stori nzima ya gazeti la UHURU ni biased na imeandikwa kiitikadi zaidi ya kitaalamu. Practically, mtu akikopa kuna kuwa na makubaliano ya jinsi ya kulipa lakini ukiona upande mmoja unaamua kwenda kivyake vyake kwa maagizo ya wanasiasa basi hapo kuna walakini. Hizi ni mbinu za kuelekea kufilisi watu, leo hii tukiangalia katika daftari halisi la NSSF utakuta wanasiasa wengi wanadaiwa na hasa wale wa CCM ila kwa kuwa wao ni wenye nchi wanalindana.
How come in 19 years 7m izalishe interest ya 230M that isn't practical unless "kuna upishi wa data", Ina maana katika miaka hiyo yote inaonesha kuwa Mbowe Hotel iliisha default siku nyingi na kwa nini hawakukamata mali kipindi kile? kwa nini wanaacha active accounts?, It's finacially impracticle kwa interest hiyo
Na hao UHURU waache siasa kwenye uandishi siku wakikosa Ruzuku za kendeshea gazeti lao utakuwa ndiyo mwisho wao. Mtu makini akinunua gazeti lenye kichwa kama hiki halafu akute kilichoandikwa next time hata fikiria kununua tena upuuzi.
Huu ni ushauri au ni kujipendekeza?I can't wait kwa Mbowe kuwapiga mkwara Uhuru na kuwataka waiombe radhi MH.
Ndiyo hivyo, hata mkataba ukiwa na vipengele ambavyo kimsingi ni vya kukandamiza, mahakama inawezakutupilia mbali. Huwezi kuandika mkataba wa kuhakikisha unapata riba ya kiasi gani sijui! Huu upuuuzi. Yaani, mimi leo ninunue gari kwa dola 9000 halafu ni default na baada ya miaka 19 tu riba ifikiee lakini 230,000!? Majaji wa hapa mbona wanaweza kuwa na field day.
Nilinunua gari zamani (kama 20,000 USD) baada ya kukaa nalo like for 5 years malipo yakawa magumu nikawapigia waje walichukue gari lao nikaanda kununua used car for abt 3000; jamaa wakanitumia deni langu ati natakiwa kulipa karibu 12,000, nikawazungusha mahakamani hadi mwisho wakakubali kusettle for 1500!
Shoot, I ain't paying 229 millioni kwa deni la 9 millioni!
sasa ninaelewa kwanini GT ameng'ang'ania walipe deni; dawa ya deni ni kulipa!?
Nadhani issue hapa ni more serious than Mbowe na kama kuna watu wako serious na hii issue tuachane na Mbowe tuijadili hiyo CAG report....lakini kwa jinsi JF watu walivyokuwa obsessed with na personalities.
Sasa tukitaka kumkoma nyani giladi then tujiulize maswali yafutayo:
1)MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ANSEMAJE KUHUSU RIPOTI?
2)NSSF NAO WANASEMAJE?
Jamani kumbukeni humu kuna 3 parties yaani, CAG,Kamati ya bunge na NSSF sasa why not tusipate comments za mwenyekiti wa kamati ya bunge na NSSF before discussion then hapo sasa tutajua PUMBA NI ZIPI na MCHELE NI UPI....
Mimi nadhani watu wamepotosha nini amekileta Mwanakijiji hapa kwa makusudi kabisa. Thread inasema; MBOWE HOTELS YADAIWA BILLION 58.7 NA NSSF. Jee huo ndio ukweli wenyewe baada ya kusoma kilicho ndani yake? jee huo ndio uandishi au Uhuru wamepotosha habari hiyo kwa makusudi kabisa?HIVI WATU WANGAPI HUMU WAKO KWENYE PAYROLL YA mBOWE NA MENGI?
I'VE LOST COUNT
Wadau mimi ni an apologetic CCM member but this is a STUPID piece of news,
-Kwanza inaandikwa Mbowe Hotels inadaiwa 58 bil(SIJUI KAMA WANAELEWA UZITO WA HIYO FIGURE)
-Halafu Mbowe Hotels walikopa 7.5 million na kuishia na interest ya 229 million!
Mimi ni msomi na nafikiri habari hii imeandikwa na mtu MJINGA asiyejua clientele wake.
No wonder wasomi hawanunui hili gazeti!!!!
Mimi nadhani watu wamepotosha nini amekileta Mwanakijiji hapa kwa makusudi kabisa. Thread inasema; MBOWE HOTELS YADAIWA BILLION 58.7 NA NSSF. Jee huo ndio ukweli wenyewe baada ya kusoma kilicho ndani yake? jee huo ndio uandishi au Uhuru wamepotosha habari hiyo kwa makusudi kabisa?
Suala la kulipa au kutolipa na mambo ya Riba tulishaliongelea huko nyuma kwa kirefu sana hivyo kuliingiza katika mjadala huu wa kuandika kudaiwa Billioni 58.7 wakati ni millioni 239 ni kuzidi kupotosha.
Kuuliza wangapi wako kwenye payroll ya Mbowe au Mengi ni kuishiwa hoja
hivi watu wangapi humu wako kwenye payroll ya mbowe na mengi?
I've lost count
Wanachama wa JF wakati mwingine tu wajabu sana.
Juzi ripoti imetaja double insurance katika twin towers, ilikua hatari hapa.
Leo Katajwa Fisadi Yosso Mbowe,anaelekezwa mpaka jinsi ya kujibu ili asilipe deni
Kweli tutafika jamani?
sasa tuijadili hiyo CAG report kama tuko serious otherwise turudi to the normal name calling
Wanachama wa JF wakati mwingine tu wajabu sana.
Juzi ripoti imetaja double insurance katika twin towers, ilikua hatari hapa.
Leo Katajwa Fisadi Yosso Mbowe,anaelekezwa mpaka jinsi ya kujibu ili asilipe deni
Kweli tutafika jamani?