Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

HIVI WATU WANGAPI HUMU WAKO KWENYE PAYROLL YA mBOWE NA MENGI?

I'VE LOST COUNT

Si ndiyo wewe ulianzisha thread ukawa unasema Mengi sijui na yeye anayake? Kwa hiyo na wewe tuseme upo kwenye payroll ya RA na YM? Mwisho ukasema umeanzishiwa thread. If you want people to listen to your opinons you should also be open minded to others ideas.
 
at least we are getting somewhere

mimi binafsi sina matatizo na opinions za wengine tena napenda zaidi opposing oponions

endeleeni ila nashangaa mpaka saa hizi Mbowe hajaingia sijui vipi...
 
Ukiangalia hii stori nzima ya gazeti la UHURU ni biased na imeandikwa kiitikadi zaidi ya kitaalamu. Practically, mtu akikopa kuna kuwa na makubaliano ya jinsi ya kulipa lakini ukiona upande mmoja unaamua kwenda kivyake vyake kwa maagizo ya wanasiasa basi hapo kuna walakini. Hizi ni mbinu za kuelekea kufilisi watu, leo hii tukiangalia katika daftari halisi la NSSF utakuta wanasiasa wengi wanadaiwa na hasa wale wa CCM ila kwa kuwa wao ni wenye nchi wanalindana.

How come in 19 years 7m izalishe interest ya 230M that isn't practical unless "kuna upishi wa data", Ina maana katika miaka hiyo yote inaonesha kuwa Mbowe Hotel iliisha default siku nyingi na kwa nini hawakukamata mali kipindi kile? kwa nini wanaacha active accounts?, It's finacially impracticle kwa interest hiyo

Na hao UHURU waache siasa kwenye uandishi siku wakikosa Ruzuku za kendeshea gazeti lao utakuwa ndiyo mwisho wao. Mtu makini akinunua gazeti lenye kichwa kama hiki halafu akute kilichoandikwa next time hata fikiria kununua tena upuuzi.

Mimi naungana na wewe hii imeandikwa na elements za kimajungumajungu,
mbona gazeti hili halijaandika milions za EPA zilizoibiwa nawala siyo za mkpo.
 
Nadhani issue hapa ni more serious than Mbowe na kama kuna watu wako serious na hii issue tuachane na Mbowe tuijadili hiyo CAG report....lakini kwa jinsi JF watu walivyokuwa obsessed with na personalities.

Sasa tukitaka kumkoma nyani giladi then tujiulize maswali yafutayo:

1)MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ANSEMAJE KUHUSU RIPOTI?

2)NSSF NAO WANASEMAJE?

Jamani kumbukeni humu kuna 3 parties yaani, CAG,Kamati ya bunge na NSSF sasa why not tusipate comments za mwenyekiti wa kamati ya bunge na NSSF before discussion then hapo sasa tutajua PUMBA NI ZIPI na MCHELE NI UPI....
 
Ndiyo hivyo, hata mkataba ukiwa na vipengele ambavyo kimsingi ni vya kukandamiza, mahakama inawezakutupilia mbali. Huwezi kuandika mkataba wa kuhakikisha unapata riba ya kiasi gani sijui! Huu upuuuzi. Yaani, mimi leo ninunue gari kwa dola 9000 halafu ni default na baada ya miaka 19 tu riba ifikiee lakini 230,000!? Majaji wa hapa mbona wanaweza kuwa na field day.

Nilinunua gari zamani (kama 20,000 USD) baada ya kukaa nalo like for 5 years malipo yakawa magumu nikawapigia waje walichukue gari lao nikaanda kununua used car for abt 3000; jamaa wakanitumia deni langu ati natakiwa kulipa karibu 12,000, nikawazungusha mahakamani hadi mwisho wakakubali kusettle for 1500!

Shoot, I ain't paying 229 millioni kwa deni la 9 millioni!

sasa ninaelewa kwanini GT ameng'ang'ania walipe deni; dawa ya deni ni kulipa!?

Jamani dawa ya deni ni kweli lazima lilipwe.

Hata kama Uhuru wamebambika deni hiyo haitoshi Kumfanya Mbowe alipe.

Unapokwenda kukopa kuna masharti,itategemea na shida yako na mara nyingi ubwete katika kupata mkopo ndio unapewa riba kubwa.

Haihitaji kuwa Mwanasheria eti kumfanya Mbowe asilipe deni lake,hata aende wapi jamaa watatoa mkataba ili atekeleze jukumu lake.

Nadhani ni wakati wa Mbowe kuiachia klabu yake kwa NSSF bure kama alivyoshinikiza Lowassa mshirika wake wa karibu apewe bure ile hoteli ya Arusha.
 
Nadhani issue hapa ni more serious than Mbowe na kama kuna watu wako serious na hii issue tuachane na Mbowe tuijadili hiyo CAG report....lakini kwa jinsi JF watu walivyokuwa obsessed with na personalities.

Sasa tukitaka kumkoma nyani giladi then tujiulize maswali yafutayo:

1)MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ANSEMAJE KUHUSU RIPOTI?

2)NSSF NAO WANASEMAJE?

Jamani kumbukeni humu kuna 3 parties yaani, CAG,Kamati ya bunge na NSSF sasa why not tusipate comments za mwenyekiti wa kamati ya bunge na NSSF before discussion then hapo sasa tutajua PUMBA NI ZIPI na MCHELE NI UPI....

Wanachama wa JF wakati mwingine tu wajabu sana.

Juzi ripoti imetaja double insurance katika twin towers, ilikua hatari hapa.

Leo Katajwa Fisadi Yosso Mbowe,anaelekezwa mpaka jinsi ya kujibu ili asilipe deni

Kweli tutafika jamani?
 
HIVI WATU WANGAPI HUMU WAKO KWENYE PAYROLL YA mBOWE NA MENGI?

I'VE LOST COUNT
Mimi nadhani watu wamepotosha nini amekileta Mwanakijiji hapa kwa makusudi kabisa. Thread inasema; MBOWE HOTELS YADAIWA BILLION 58.7 NA NSSF. Jee huo ndio ukweli wenyewe baada ya kusoma kilicho ndani yake? jee huo ndio uandishi au Uhuru wamepotosha habari hiyo kwa makusudi kabisa?
Suala la kulipa au kutolipa na mambo ya Riba tulishaliongelea huko nyuma kwa kirefu sana hivyo kuliingiza katika mjadala huu wa kuandika kudaiwa Billioni 58.7 wakati ni millioni 239 ni kuzidi kupotosha.
Kuuliza wangapi wako kwenye payroll ya Mbowe au Mengi ni kuishiwa hoja
 
Wadau mimi ni an apologetic CCM member but this is a STUPID piece of news,
-Kwanza inaandikwa Mbowe Hotels inadaiwa 58 bil(SIJUI KAMA WANAELEWA UZITO WA HIYO FIGURE)
-Halafu Mbowe Hotels walikopa 7.5 million na kuishia na interest ya 229 million!
Mimi ni msomi na nafikiri habari hii imeandikwa na mtu MJINGA asiyejua clientele wake.
No wonder wasomi hawanunui hili gazeti!!!!

Thanks Mkuu;

Cha ajabu ni kwamba kuna wahariri, na supervisors ambao wameacha huu upupu hadi umetoka public

....that reflects fairly type ya waandishi washabiki wa chama tulionao wasioelewa hata maana ya ethics za uandishi na impact ya utumbo wao

KITUKO
 
Last edited:
Mimi nadhani watu wamepotosha nini amekileta Mwanakijiji hapa kwa makusudi kabisa. Thread inasema; MBOWE HOTELS YADAIWA BILLION 58.7 NA NSSF. Jee huo ndio ukweli wenyewe baada ya kusoma kilicho ndani yake? jee huo ndio uandishi au Uhuru wamepotosha habari hiyo kwa makusudi kabisa?
Suala la kulipa au kutolipa na mambo ya Riba tulishaliongelea huko nyuma kwa kirefu sana hivyo kuliingiza katika mjadala huu wa kuandika kudaiwa Billioni 58.7 wakati ni millioni 239 ni kuzidi kupotosha.
Kuuliza wangapi wako kwenye payroll ya Mbowe au Mengi ni kuishiwa hoja

Sasa tukitaka kumkoma nyani giladi then tujiulize maswali yafutayo:

1)MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ANSEMAJE KUHUSU RIPOTI?

2)NSSF NAO WANASEMAJE?

Jamani kumbukeni humu kuna 3 parties yaani, CAG,Kamati ya bunge na NSSF sasa why not tusipate comments za mwenyekiti wa kamati ya bunge na NSSF before discussion then hapo sasa tutajua PUMBA NI ZIPI na MCHELE NI UPI..
 
hivi watu wangapi humu wako kwenye payroll ya mbowe na mengi?

I've lost count

gt...

Umesema vizuri sana kwamba lets stick to the cag report

haya ya payroll achana nayo maana inawezekana ni wengi au hakuna but for sure if you want us to talk about that then we may need to know ni wangapi wako kwenye payroll ya ra, el na wenzao
 
Wanachama wa JF wakati mwingine tu wajabu sana.

Juzi ripoti imetaja double insurance katika twin towers, ilikua hatari hapa.

Leo Katajwa Fisadi Yosso Mbowe,anaelekezwa mpaka jinsi ya kujibu ili asilipe deni

Kweli tutafika jamani?

Hiki ndicho huwa kinaitwa kudandia treni kwa mbele! You missed the whole point and the whole discussion passed you by.. kwa hiyo unataka alipe deni? la bilioni 54!, la milioni 230, au la milioni 7?
 
sasa tuijadili hiyo CAG report kama tuko serious otherwise turudi to the normal name calling
 
sasa tuijadili hiyo CAG report kama tuko serious otherwise turudi to the normal name calling

kuna topic ya CAG kule twende tujadili hii ilikuwa inahusu mada ya hapo juu na jinsi gazeti la Uhuru lilivyoripoti kwa uongo habari ambayo haina kichwa wala miguu. Kuna mtu mmoja tu hapa ambaye ameng'ang'ania name calling na wengine wamejiunga naye.
 
Mbowe na wengine waliotajwa na CAG walikopa tu -- na msianze kuleta upumbavu kuwa ni ufisadi. hawakuyghushi nyaraka wala kufanya udanganyifu wowote kuzichukua kutoka NSSF.

Lakini kuna makampuni mengi ambayo hawawasilishi michango ya wafanyakazi kule NSSf, na nina hakika mojawapo ni Habari Corporation ya Rostam. Muulize mfanyakazi yeyote wa habari Corp atakuambia michango hakuwa inapelekwa kabisa hadi kufikia kuwadadilishia kutoka NSSF kwenda PPF mwaka 2007.

Huo ndiyo ufisadi wa Rostam na NSSF inabidi kuchukua hatua -- siyo tu kukazania watu waliokopa fedha kisheria.
 
hivi hili suala la deni la mbowe hotels na nssf haslijafikishwa mahakani?
 
Kurasa nane za majibizano, malumbano na ushabiki ndo matokeo ya ukilaza wa waandishi na wahariri wa Uhuru... kazi ipo!
 
Wanachama wa JF wakati mwingine tu wajabu sana.

Juzi ripoti imetaja double insurance katika twin towers, ilikua hatari hapa.

Leo Katajwa Fisadi Yosso Mbowe,anaelekezwa mpaka jinsi ya kujibu ili asilipe deni

Kweli tutafika jamani?

Hapana wewe ndo hujaelewa. Soma vizuri post za MMM ambazo zimetoa response ya Mbowe hotel. Ukiangalia kwa makini utagundua kwamba NSSF ni wazembe wa kupindukia. Kwanza hotel inaonyesha imeshawaandikia hawa jamaa mara kibao, lakini ku-respond it takes even one year. Kumbuka deni liko kwenye vitabu na lina compound interest every day. Kama muitikion wao kwa maswala mdogo tu ya kibiashara inachukua years si ajabu kuona hiyo interest inafikia huko.

Halafu according to good practice za kiuasibu, hawa NSSF walikuwa wapi mpaka hilo deni likafikia huko. To me kama NSSF ingekuwa company yangu then by the time hiyo loan inamature lazima tayari ningeshapewa taarifa kwa nini huyu mteja anaelekea ku default and then ningechukua necessary measures. Sasa tunaongelea swala la 19 years!!!! By the time it is 5 years illitakiwa liwe limeshakuwa written off. So i wonder why hiyo management ya NSSF bado iko. Wazembe wazembe. Ukitaka kujua nenda kaulizie balance ya hela zako utapata picha who NSSF are.

So to me, NSSF is a problem.

Kaswali, by the way hivi nami nikitaka mkopo naweza pata toka NSSF? Is it financial institution ya ku-lend people?
 
Wanajamvi tumekimbilia kumjadili Mbowe badala ya kuichambua ripoti ya CAG.Kwa kifupi gazeti la UHURU wamefanikiwa kuondoa umuhimu wa ripoti kwa kuingiza mambo ya siasa zaidi.

NSSF inadai kampuni nyingi zaidi ya Mbowe Hotel Ltd,sasa ni kwanini kampuni nyingine hazikupewa umuhimu badala yake issue imekuwa ni Mbowe.

General Tyre inadaiwa tsh 13,502,430,000 kitu ambacho si kweli kwasababu hizi fedha hazikufanya kazi iliyokusudiwa ya kumodernise kiwanda badala yake hizi fedha zilitumiwa na mafisadi ambao mpaka leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yao.
 
Back
Top Bottom