Mzee wa Rula,Tuache majungu jamani, kwa nini hizi kashfa zinakuja katika kipindi hiki ambacho CDM ikiwa chini ya kamanda Mbowe? Nadhani hicho kibaraza kilikuwa ni cha kina Tambwe Hiza na Makamba.
Hizo ni propaganda ili mjue kuwa mbowe naye siyo msafi labda alikopa fedha ili ahonge uchaguzi uliopita. Na kwa taarifa yenu kama ingelikuwa ni kweli CCM wangehakikisha banki hiyo inamdhalilishaa Mbowe ili nae aonekane hafai kama ambavyo anaimba wenzake hawafai majukwaani!
Habari hii naiweka kama jungu tu.
Hilo jungu lako lina kaukweli kidogo. Habari hizi ziliripotiwa katika gazeti moja la Bongo zikitolewa na NSSF. Baada ya gazeti kubaini ukweli ilibidi wamwombe Mbowe msamaha. Ndio maana zimebaki habari za kibarazani.