FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mzushi, mzandiki, mchochezi, mchonganishi..........waliokutuma waambie wajibu hoja zinazowatafuna kanda ya ziwa.
Jibu maswali ya msingi. Kumbuka fedha tunayoongelea hapa ni akiba yetu tunayokatwa kila mwezi. Na mtu kama Mbowe, kukataa kulipa hilo deni ni dharau kwetu tunaokatwa hizo fedha.
Tuna kila haki ya kumuuliza, vipi? Kulikoni leo, yeye na mkewe wakatae kulipa fedha yetu?