Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je wewe usha lipa hela unazodaiwa dukani kwa Mpemba?![]()
Ndugu Freeman Mbowe akiwa na mkewe ambaye ni binti wa aliyekuwa gavana wa BOT enzi hizooo na pia mwanzilishi wa Chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA ndugu EDWIN MTEI
Huyu ni rais wetu mtarajiwa in October 2015
Sasa nauliza je alimaliza Masomo yake kule Hull University?
Na je alishalipa deni lake alilokuwa anadaiwa na NSSF?
Je ali declare mali zake hadharani au?
![]()

Alipe wapi? ndio maana alikubali kwa 100% sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii ipitishwe.
Alipe wapi? ndio maana alikubali kwa 100% sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii ipitishwe.
Ujinga wa kuleta vituko hapa JF ndio unasababisha ccm idharaulike.Mods toeni huu utumbo hapa jukwaani
Wenzio kwa ujinga huo huo utawakuta wamepanga foleni pale Lumumba kuchukua posho kwa ujinga huohuo wanao post humu JF. Tatizo sio hao waandikaji maana wao akili zao walisha zifungia kwenye masanduku ila tatizo ni mlipajiUjinga wa kuleta vituko hapa JF ndio unasababisha ccm idharaulike.Mods toeni huu utumbo hapa jukwaani
2015 presidaa and festi ledi discussing issues of tribal importance
Hawamuwezi mbowe,tajiri huyo toka yuko kwenye korodani za mzee mbowe.achaneni na huyo jamaa hamtomuweza,jembe hilo.
1. Aliyekwambia huyu ndiye Rais mtarajiwa nani? kiwewe chenu tu.![]()
Ndugu Freeman Mbowe akiwa na mkewe ambaye ni binti wa aliyekuwa gavana wa BOT enzi hizooo na pia mwanzilishi wa Chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA ndugu EDWIN MTEI
Huyu ni rais wetu mtarajiwa in October 2015
Sasa nauliza je alimaliza Masomo yake kule Hull University?
Na je alishalipa deni lake alilokuwa anadaiwa na NSSF?
Je ali declare mali zake hadharani au?
,Tatizo lenu nyie Pro-Chadema JF amtaki watu waohoji mambo ya Chadema nyie ndio mna haki ya kuhoji mambo ya vyama vingine, sasa unakimbilia kwa mods unamwambia atoe huu utumbo ngoja tusubiri mods wautoe.
Tatizo lenu nyie Pro-Chadema JF amtaki watu waohoji mambo ya Chadema nyie ndio mna haki ya kuhoji mambo ya vyama vingine, sasa unakimbilia kwa mods unamwambia atoe huu utumbo ngoja tusubiri mods wautoe....