Mzushi, mzandiki, mchochezi, mchonganishi..........waliokutuma waambie wajibu hoja zinazowatafuna kanda ya ziwa.
wewe umeshaelezwa mtu kakopa million 15 ,mpaka sasa hivi ameshalipa million 80 ,,,,,,,,,,,,wewe unakomaaa .tumia akili wewe ,usiache chuki na ubaguzi wako unacloud your thinking capacity.halafu tunalalamika akiba za wazee hazilipwi kwa wakati, wakati kina mbowe na familia zao wanakopa akiba zetu za uzeeni halafu hawataki kulipa, eti biashara haikwenda vizuri! Juzi tu kazowa kitita kisichopunguwa million 90 bungeni, kwa nini asilipe deni lake na mkewe, ili ahakikishe akiba zetu za uzeeni haziendi mrama?
Leo tuna kauli ya kusema hawa ndio viongozi wanaofichuwa ufisadi? Hata haya hatuna!
wewe umeshaelezwa mtu kakopa million 15 ,mpaka sasa hivi ameshalipa million 80 ,,,,,,,,,,,,wewe unakomaaa .tumia akili wewe ,usiache chuki na ubaguzi wako unacloud your thinking capacity.
Nilijua tu kwamba huku ndiko ulikokuwa unaelekea. Ndio maana sikupoteza muda wangu kujibizana na zumbukuku kama wewe. Wameshasema alikopa mil 15. Amelipa mil 80. Akiba ya wazee imepata faida. Wanaoihujumu akiba ya wazee ni hao hao akina Dau na maswahiba wao wa Kihindi akina Manji.Halafu tunalalamika akiba za wazee hazilipwi kwa wakati, wakati kina Mbowe na familia zao wanakopa akiba zetu za uzeeni halafu hawataki kulipa, eti biashara haikwenda vizuri! Juzi tu kazowa kitita kisichopunguwa million 90 bungeni, kwa nini asilipe deni lake na mkewe, ili ahakikishe akiba zetu za uzeeni haziendi mrama?
Leo tuna kauli ya kusema hawa ndio viongozi wanaofichuwa ufisadi? Hata haya hatuna!
Nilijua tu kwamba huku ndiko ulikokuwa unaelekea. Ndio maana sikupoteza muda wangu kujibizana na zumbukuku kama wewe. Wameshasema alikopa mil 15. Amelipa mil 80. Akiba ya wazee imepata faida. Wanaoihujumu akiba ya wazee ni hao hao akina Dau na maswahiba wao wa Kihindi akina Manji.
mwanaume madeni banaNimesikia kibarazani kuwa Mbowe Jr., Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, alikopa fedha nyingi huko akiba ya uzeeni na sasa kashindwa kuzilipa na mali alizoweka dhamana hazitoshi kulipa deni hilo na riba yake? Naomba wajuzi mtujuze, ni kweli hii?
Au wanamzulia? au kuna ka-mchezo alicheza?
Kumbuka huyo ni public figure, na ni dhahiri anafaa awe mfano wa kuigwa, sasa kama kweli ka deni ka biashara kanamshinda kulipa haka ka nchi si atakaweka rehani pindi atapoupata u Rais (wishful thinking).
duh! mmezidi kufagilia!kudaiwa ni ujanja bw mdogo, nani mjanja asie daiwa??? wenye mawe wote wanadaiwa kwa taarifa yako kitendo cha ww kushangaa mtu kudaiwa inaonyesha ni jinsi gani ulivo f.a.l.a.....
Nimesikia kibarazani kuwa Mbowe Jr., Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, alikopa fedha nyingi huko akiba ya uzeeni na sasa kashindwa kuzilipa na mali alizoweka dhamana hazitoshi kulipa deni hilo na riba yake? Naomba wajuzi mtujuze, ni kweli hii?

BABA LIDHI ALIKOPA WAPI? MBONA KAIWEKA REHAN TZ? WiKumbuka huyo ni public figure, na ni dhahiri anafaa awe mfano wa kuigwa, sasa kama kweli ka deni ka biashara kanamshinda kulipa haka ka nchi si atakaweka rehani pindi atapoupata u Rais (wishful thinking).
hamna mfanyibiashara asiyekopa katika kipindi flani flani so kudaiwa ni kawaida kabisa.kudaiwa ni ujanja bw mdogo, nani mjanja asie daiwa??? wenye mawe wote wanadaiwa kwa taarifa yako kitendo cha ww kushangaa mtu kudaiwa inaonyesha ni jinsi gani ulivo f.a.l.a.....
Thibitisha kwanza huko huko ndio ulete hapa hatuwezi kujadili majungu!!
hamna mfanyibiashara asiyekopa katika kipindi flani flani so kudaiwa ni kawaida kabisa.
Wafanyabiashara wanauwezo mdogo kifedha kuweza kukidhi haja yao kiuwekezaji, labda wewe ni mcheza bao na ghahawa ndio maana hulijui hili.

Simjui mtu anayeitwa Mbowe Jr. Kamuulize vizuri aliyekutuma. Inaonekana umekurupuka kuandika hii thread akili yako ikiwa bado inawaza gongo. Pole sana. Unadhani wewe na mafisadi wenzio mnaweza kumchafua Kamanda Mbowe!?! Mnajidanganya sana. Watanzania sasa hawadanganywi na propaganda mfu zilizokaa kisisiem sisiem.
Therefore? Kama Mbowe alifuata utaratibu wa kwenda kwenye vyombo vinavyofahamika kama mtanzania mwingine kwanini Kikwete na Rostam wasifuate hii njia? Kikwete na Rostam wazi wanaliibia Taifa la Tanzania na ushahidi kila mahali. Raslimali za watanzania zimeshikiliwa na Rostam sio Mbowe. Acha kuuliza maswali wakati majibu unayo. Mbowe anaongoza idara gani serikali ya ccm? Mbowe anawaogopesha ndio maana mnakazana kumwandika ovyo. It's too late.