Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Kumbe ndo maana hawataki fao la kujitoa kwasababu michango yetu wameigeuza Shamba la Bibi?
 
Aanze na Kagoda, epa, ....

Hili la Mbowe limesemwa na Mh Hawa Ghasia ndani ya Bunge. Nadhani ni vyema tukaanza na Mbowe kama
Kiongozi wa kambi ya Upinzani aonyeshe mfano kwa kulipa madeni ya Serikali.
 

Lizaboni wewe ni Muongo sana, na hii ni dhahiri kwamba Intarahamwe at work.
Si kweli Mbowe alikopa kupitia mgongo wa KUB,
Mbowe kupitia makampuni yake aliwahi kukopa NSSF miaka hiyo na alishaanza kurejesha, na mpaka anakopeshwa alitimiza mashariti ya mkopo, hivi leo kama angekuwa amekiuka masharti ya mkopo NSSF wangeshamfikisha kwenye vyombo vya sheria, ukizingatia ni Chadema chama ambacho kinawanyima usingizi maintarahamwe .
Acheni upotoshaji
 
Tanzania ni shamba la bibi viongozi wa kisiasa wanajilimia tu.
 
mbowe ni bora ya ccm sasa hayo ma msukule yake yanajifanya yanakoma upumbavu wakati raisi wao fisidi akidaiwa anasema ccm
 
mimi nadhani si mbowe tu anayedaiwa sisi sote watanganyika tunadaiwa tena mpaka sasa tunadaiwa laki 4 kila mmoja sasa ni vyema mleta hoja tuanze na hili kwanza
 
mimi nadhani si mbowe tu anayedaiwa sisi sote watanganyika tunadaiwa tena mpaka sasa tunadaiwa laki 4 kila mmoja sasa ni vyema mleta hoja tuanze na hili kwanza

Mkamatwa na ngozi ndo mla nyama,dawa ya deni ni kulipa,mbona BAVICHA mnamtetea sana boss fisadi wenu?
Alipe hilo deni
 
Moja kati ya udhaifu mkubwa kabisa katika kujenga hoja ni kuhalalisha kosa lako kwa kutumia kosa la mwingine.

Naamini hadi kufikia kukopa, alikidhi vigezo na ndiyo maana mfuko husika bado unakwenda nae ili kuhakikisha marejesho yanatimia. Si mtaalamu sana wa Sheria za makampuni ila naamini kama ikithibitika Mkopaji ( ambaye hapa siyo Mbowe ila ni Kampuni of which stands as a person/independent entity liable to any unlawful act) basi mali za kampuni zitauzwa kufidia deni. Why so far NSSF hawajafikia hatua hiyo?

Back to business, kwa hili la Mbowe in a propaganda way litatumika kupotosha na kuhalalisha wale wote ambao wamekua wakiitumia mifuko hii kuifisadi(wabunge na mawazir) kwa kuwa tu Kiongozi wa Kambi ya upinzani alikopa..this will be too low kwa mtu atakae kuja na such grounds.

Mifuko hii ichunguzwe na madudu yawekwe wazi. Not a right time for politics.. 200bln za IPTL saga zimeliwa,EPA saga is on,and the alike but wanapropaganda wa CCM hukwepa uzi.. Just because siasa zimechukua hatamu.. Tunavyojitokeza kwa wingi kujadili ufisadi (mdeni wa mfuko wa hifadhi ya jamii) tuwe na moyo na uchungu huo huo katika thread zingine za ufisadi kama IPTL etc..
 
Niliwahi kusema mchaga toka lini akafanya biasahara kichaa isiyolipa! Mbowe ni Tapeli wa siasa. Mara UKAWA, mara OP SANGARA, mara M4C duh, kote huko anapiga hela tu.
Hakika Mkuu. Thanx mods kwa kurejesha mjadala huu
 
Mkuu, kwa Mbowe kuwa KUB ameweza kusababisha kampuni yake isifilisiwe
 
15m mwaka 1990 mpaka 2008 deni + riba ni 1.2B?? Hesabu za wapi au riba kwa mwaka ni ngapi hata kama ni compound interest deni haliwezi kufika huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…