KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
Kumbe ndo maana hawataki fao la kujitoa kwasababu michango yetu wameigeuza Shamba la Bibi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanze na Kagoda, epa, ....
Wadau, baada ya kipindi cha Maswali na Majibu, kulikuwa na miongozi ya Wabunge kwa Naibu Spika. Moja ya hoja zilizojitokeza ni madai ya Lissu kuwa Wabunge wa CCM wanachukua fedha kutoka kwenye mifuko ya jamii.
Hata hivyo, waziri Gaudensia Kabaka alisema kuwa si kweli kuwa wabunge wanaenda kuchukua fedha kwenye mifuko ya kijamii na kuweka mfukoni mwao bali wanaomba fedha kwenye mifuko hiyo kwa ajili ya maendeleo kwenye majimbo yao.
Alisema kuwa ni wabunge wa CCM ndio wanaojitokeza kuomba kwa ajili ya majimbo yao jambo ambalo amesema kuwa ni jema. Anawashangaa wabunge wa upinzani kulalamika kuwa wabunge wa CCM wanaomba fedha kwenye mifuko yao ilhali wao hakuna anayewazuia kuomba.
Kibaya zaidi waziri Kabaka alisema ni pale Mbunge ambaye anajitokeza kukopa fedha kwenye mifuko hiyo na akakaa na deni kwa muda mrefu hali inayomfanya awe kwenye risk ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Alisema kuwa kuna kiongozi mmoja wa upinzani ambaye amekopa fedha nyingi NSSF na mpaka sasa anakwepa kulipa.
Katika majibu ya nyongeza, Waziri wa TAMISEMI, HAWA GHASIA alimtaja mtu huyo kuwa ni Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye alitumia mamlaka yake kama KUB kukopa kiasi kikubwa cha fedha (kiwango hakikubainishwa) na mpaka sasa hajalipa na haoneshi nia ya kulipa hivyo kujiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kukamatwa
Ili ujiunge na bavicha lazima ujue kutukana sana...hao ndio vijana wa bavicha.
Tanzania ni shamba la bibi viongozi wa kisiasa wanajilimia tu.
mimi nadhani si mbowe tu anayedaiwa sisi sote watanganyika tunadaiwa tena mpaka sasa tunadaiwa laki 4 kila mmoja sasa ni vyema mleta hoja tuanze na hili kwanza
Mbowe ni mchwa
Dada, usipite kwani hapa kuna hoja muhimu sana imeibuliwaMi napita tu kwenye thread hii..,sitaki matusi.
Hakika Mkuu. Thanx mods kwa kurejesha mjadala huuNiliwahi kusema mchaga toka lini akafanya biasahara kichaa isiyolipa! Mbowe ni Tapeli wa siasa. Mara UKAWA, mara OP SANGARA, mara M4C duh, kote huko anapiga hela tu.
Mkuu, kwa Mbowe kuwa KUB ameweza kusababisha kampuni yake isifilisiweMoja kati ya udhaifu mkubwa kabisa katika kujenga hoja ni kuhalalisha kosa lako kwa kutumia kosa la mwingine.
Naamini hadi kufikia kukopa, alikidhi vigezo na ndiyo maana mfuko husika bado unakwenda nae ili kuhakikisha marejesho yanatimia. Si mtaalamu sana wa Sheria za makampuni ila naamini kama ikithibitika Mkopaji ( ambaye hapa siyo Mbowe ila ni Kampuni of which stands as a person/independent entity liable to any unlawful act) basi mali za kampuni zitauzwa kufidia deni. Why so far NSSF hawajafikia hatua hiyo?
Back to business, kwa hili la Mbowe in a propaganda way litatumika kupotosha na kuhalalisha wale wote ambao wamekua wakiitumia mifuko hii kuifisadi(wabunge na mawazir) kwa kuwa tu Kiongozi wa Kambi ya upinzani alikopa..this will be too low kwa mtu atakae kuja na such grounds.
Mifuko hii ichunguzwe na madudu yawekwe wazi. Not a right time for politics.. 200bln za IPTL saga zimeliwa,EPA saga is on,and the alike but wanapropaganda wa CCM hukwepa uzi.. Just because siasa zimechukua hatamu.. Tunavyojitokeza kwa wingi kujadili ufisadi (mdeni wa mfuko wa hifadhi ya jamii) tuwe na moyo na uchungu huo huo katika thread zingine za ufisadi kama IPTL etc..
Mbowe amekuwa KUB mwaka gani , na mkopo ni wa mwaka gani?Mkuu, kwa Mbowe kuwa KUB ameweza kusababisha kampuni yake isifilisiwe
Hawa Ghasia Ana fistula .....l
Mi napita tu kwenye thread hii..,sitaki matusi.
Mi napita tu kwenye thread hii..,sitaki matusi.