Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF



na zaidi ya yote hayo je tutaruhusiwa kujadili MBOWE na uhusiano wake na NSSF?

ama thread itahimishiwa kwenye hoja nzito na vibweka vya wakubwa

Kuna thread zaidi ya kumi hapa zinazomjadili Mbowe na hii issue ya NSSF. Ukiscroll chini kidogo kwenye jukwaa la siasa utakuta kuna nyingine inaendelea hapa.
 

Mwafrika wa Kike,

Unamlaumu Rostam kwa hili la Mbowe? Nafikiri kwa hapo USA ulikuwa katika wale waliokuwa wanawalaumu Republican kwa scandal ya Clinton na Monika.

Ukiwa mwanasiasa na ukajikuta kwenye jambo lolote ambalo ni makosa yako, huna haki ya kumlaumu mtu.

Ni sawa na mafisadi wanapoilaumu JF. Sisi ni kioo tu, tunasaidia kuwaonyesha walivyochafuka. Sio sisi tuliowafanya wageuke kuwa hogs na kugalagala kwenye matope.

Mbowe hatakiwi kumlaumu mtu juu ya hili. Alipe deni la walala hoi na kuendelea na siasa zake.
 
Watu wengine wanachekesha kweli. Na ndiyo maana hata hayo mashirika wanayoyaongoza yanalalamikiwa kila siku

Sasa hapo anakanusha nini na kusahihisha nini?
 
What Kidula is saying makes sense, walipokuwa wakitoa huu mkopo wa 15 millions in 1990 walitegemea only 31% on top of that amount kama huo mkopo ungelipwa in 5 years time, wangeishia kulipwa milion 19.65 tu kama hili deni lingelipwa by end of 1996. So far wameshalipwa more than 60 millions na its very likely malipo yataendelea,how can anyone say wamepoteza mabilioni? what a business!Kinachogomba hapa ni integrity ya muheshiwa tu but otherwise its a good deal for NSSF.
 

kwi kwi kwi

Mtanzania, wewe unajua kabisa kuwa nikipata nafasi ya kumtwanga Rostam (hasa magazeti yake ya udaku) ninafanya bila wasiwasi wala kuchelewa.

Mahakama itaamua tu kuwa Mbowe anadaiwa kiasi gani (alikopa mill 15 na ameshalipa zaidi ya mil 60 - kulingana na story hii) so for now mimi nadeal na mwizi na mkoloni Rostam Azizi wakati nikisubiria hatima ya kesi ya mbowe.

au wewe unaonaje
 
Naomba hii thread irudishwe kule SIASA kwani kuna copy cat threads 4 zinazungumzia same thing

tunahitaji utaratibu
 
Nafikiri ni wakati baadhi ya Members kuacha kukurupuka katika maandishi yao. Unavuliwa nguo hivi hivi wakati huonekani na jina lako la bandia.
 

na zaidi ya yote hayo je tutaruhusiwa kujadili MBOWE na uhusiano wake na NSSF?

ama thread itahimishiwa kwenye hoja nzito na vibweka vya wakubwa

heheee, binafsi ningependa kuomba ruhusa kwa mods tuweze kuijadili hapa kwenye siasa, maana najua kutawaka moto !Sasa sikia washaanza kumlink mtu fulani, jua kwamba hiyo ni chain usishangae hata akina slaa wakiwemo !
 
ADMIN

Tunaomba u merge his thread na hii hapa:

MBOWE AHUSISHWA NA UFISADI NSSF( ya kwanza ilikuwa ni hii


http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=10852

hawa watu naweza kusema wana mtindio wa ubongo, mara ya kwanza thread yoyote iliyohusishwa na mbowe basi ilihamishwa, lakini BAHATI NZURI NI KWAMBA KUNA LINKS ZA WATU NA WATU KUANZIA MBOWE NA WENGINE AMBAO HAWAJATAJWA SASA THERES GOOD NEWS KWAMBA KIBANDA KITAWAKA MOTO NA WATAJULIKANA !
 

Kama wameanza kukana madai yao ya awali kuwa Mbowe hadaiwi hayo mabilioni na hajaitia NSSF hasara, je kuna sababu ya watu kuomba msamaha kwa Mbowe?
 

baadhi ya watu humu wanafaa kupuuzwa kwa kulialia na kuongea vitu visivyoelewa kwa madai fulani fulani ! its too complicated for some mzee !

ISHAFAHAMIKA KWAMBA MBOWE ANATUMIA VIFANYAKAZI VYAKE VYA KWENYE MITANDAO KUMCHAFULIA JINA ROSTAM AZIZ, HILO MBONA LINAFAHAMIKA !
 
na mbowe ataendelea kudaiwa hadi akamue hayo mabilioni ya watanzania either kutoka mdomoni au anapojua mwenyewe !
 
Nafikiri ni wakati baadhi ya Members kuacha kukurupuka katika maandishi yao. Unavuliwa nguo hivi hivi wakati huonekani na jina lako la bandia.

Kuna watu huwa hawajui hili mkuu na sasa taratibu wanaanza kuumbuliwa na mimi kama kawaida yangu nimekamata popcorn yangu tayari kabisa kwa second part ya hii movie ambapo Kikwete na Mkullo watatakiwa kutoa maelezo ya pesa alizopewa Manji!
 
Mbowe hatakiwi kumlaumu mtu juu ya hili. Alipe deni la walala hoi na kuendelea na siasa zake.

point nzuri, sasa na ile kesi ya mahakamani iishie wapi; alipe kabla ya kesi au baada ya kesi au alipe kana kwamba hakuna kesi?
 
Kama wameanza kukana madai yao ya awali kuwa Mbowe hadaiwi hayo mabilioni na hajaitia NSSF hasara, je kuna sababu ya watu kuomba msamaha kwa Mbowe?
kulikuwa na haja gani ya kuquote habari yote kwa sentensi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…