Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mtu Wa Aina Hii Ndio Aje Kuwa Rais Jamani? Mbona Nchi Hii Itakuwa Imekwisha Mpaka Hapo Atakapokuwa Wamepatikana Viongozi Wa Kweli,awamu Ya Tatu Wameharibu Ya Nne Pia Na Hao Ambao Tungetarajia Waje Watuwekee Nchi Sawa Ndio Hawa

mi hapa sijui nisemeje? kama DR. Slaa alivyojitokeza kukanusha huyu naye aje.....!
 
Kwanini aje kukanusha hapa wakati alishakunusha kwenye vyombo vya habari na ikathibitika kwamba hana ufisadi wowote ila palikuwa na mzozo wa kibiashara ambao uko mahakamani?

Sasa mjadala huu wa Julai 2008 kuibuka leo ni kwa sababu watetezi wa Kikwete mmkerwa na hizi taarifa mbili:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/6534-kikwete-siyo-safi-yes-i-said.html

Na

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/27270-mbowe-nchi-imekwama-kikwete-ameelemewa.html

Sasa hebu someni hii orodha ya mafisadi na mlinganishe Mbowe na Kikwete wenu:

List of Shame - Orodha ya Mafisadi

Asha
 
Ndio maana wa Chadema wanaukimbia Uraisi ,hapa mlikuwa mnasifu moshi kumbe ndani kuna cheche , vishindo vya Mbowe sasa basi ,amemwagiwa maji ya barafu ,daha ukiziba huku kunatoboka kule ,wamebaki wanaume wa kazi wanangangari wazee wa shwa shwa shwa ,mapangaaa shwa shwa shwa ,ipo kazi nasema ipo kazi kwa sababu hivi sasa njia ni moja tu ,iungeni mkono CUF bila ya kusita hakuna Chadema hakuna TLP ,na ndio ukweli mnauona huu ,usingoje kushikwa mkono ,tunataka kuingoa CCM kwa kishindo ,hivyo TLP CHADEMA na wengineo elekezeni nguvu zenu kuipa sapoti CUF katika ngazi ya Uraisi ,Lipumba he is a man to be na anastahili kwa kuwa kila sifa ambazo ni kigezo cha Urais anazo ,sisemi kuwa hao wengine hawafai ,hapana CCM ameshawaona na kuwavuruga ,wameitafuta kwa kila njia CUF lakini wameshindwa ,tena wameshindwa vibaya sana katika harakati za kuikwamisha CUF ,kila wanapojaribu wanakutana na kizingiti na hua ndio mwisho wao ,inawabidi wajipange upya mwisho wameona wahamie kwa Chadema na TLP na wengine ,Chama Cha Wananchi CUF kitawaongoza WaTanzania pale wanapopataka hilo halina mjadala.
 
Hii title imekaa kisiasa zaidi. Mbona kupitia Mbowe Hotel alikopa NSSF. Ni wazi kipindi kile inflation rate ilikuwa juu sana ndio sababu riba ilikuwa 31%. Kibaya zaidi iliwekwa kuwa fixed instead of floating. Uchumi wa Tz uliboreka baadae riba zikashuka lakini haikuisaidia Mbowe Hotel. Pesa ilizo kopa Mbowe Hotel kwa maana ya Principal amount (15mil) zilishakwisha lipwa. Shida ni hiyo riba so sio sahihi kuwa ''Mbowe anaimaliza NSSF'' kama kichwa cha habari kinavyo sema. Simtetei Mbowe, lakini ni kweli kampuni ndio uliyo kopa. Of course, kwa kuwa yeye ni public figure ni mhimu akatoa ufafanuzi hilo juu ya hilo swala.
 
Ndio maana wa Chadema wanaukimbia Uraisi ,hapa mlikuwa mnasifu moshi kumbe ndani kuna cheche , vishindo vya Mbowe sasa basi ,amemwagiwa maji ya barafu ,daha ukiziba huku kunatoboka kule ,wamebaki wanaume wa kazi wanangangari wazee wa shwa shwa shwa ,mapangaaa shwa shwa shwa ,ipo kazi nasema ipo kazi kwa sababu hivi sasa njia ni moja tu ,iungeni mkono CUF bila ya kusita hakuna Chadema hakuna TLP ,na ndio ukweli mnauona huu ,usingoje kushikwa mkono ,tunataka kuingoa CCM kwa kishindo ,hivyo TLP CHADEMA na wengineo elekezeni nguvu zenu kuipa sapoti CUF katika ngazi ya Uraisi ,Lipumba he is a man to be na anastahili kwa kuwa kila sifa ambazo ni kigezo cha Urais anazo ,sisemi kuwa hao wengine hawafai ,hapana CCM ameshawaona na kuwavuruga ,wameitafuta kwa kila njia CUF lakini wameshindwa ,tena wameshindwa vibaya sana katika harakati za kuikwamisha CUF ,kila wanapojaribu wanakutana na kizingiti na hua ndio mwisho wao ,inawabidi wajipange upya mwisho wameona wahamie kwa Chadema na TLP na wengine ,Chama Cha Wananchi CUF kitawaongoza WaTanzania pale wanapopataka hilo halina mjadala.

Lipumba yupi? Yule aliyepata kura kiasi 1995, akashuka ziwakawa kidogo 2000, asilimia ya kura ikashuka zaidi mwaka 2005. Sasa kama kuna zake asilimia inazidi kushuka kila uchaguzi, unategemea nini kwamba zitapanda mwaka 2010? Hana tofauti na Mrema huyo 1995 juu, 2000 chini mwaka 2005 chini kabisa!. CUF labda mbadili mgombea.

.......ndiyohiyo
 
Mbowe hotel yadaiwa bilioni 58.7/- za NSSF

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MBOWE Hotel Ltd ni miongoni mwa wakopaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambao hawatekelezi masharti ya mikopo na kusababisha malimbikizo ya deni la jumla ya sh. bilioni 58.757.

Akitangaza taarifa ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, alisema deni hilo limesababishwa na wakopaji kumi.

Kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG, wakopaji hao ni Mbowe Hotel Ltd ambaye Machi 10, 1990 alikopa NSSF sh. milioni 7.5, lakini alishindwa kulipa deni na kusababisha limbikizo la riba ya sh. 229,898,516.

Alisema hadi Juni 30, 2008, deni la riba kwa hoteli hiyo lilifikia sh. 237,398,516. Wadaiwa wengine ni New Kilimanjaro Bazaar, ambaye kati ya mwaka 1990,1991 na 1992 alikopa jumla ya sh. 99,445,000.

Utouh alisema kuwa riba ya mkopaji huyo ilifikia sh. milioni 750.849 ambapo jumla ya riba na deni imefikia sh. milioni 850.294. Wakopaji wengine ni Kagera Sugar Company Ltd, ambayo Februari 11, 2003 ilikopa sh. milioni 12 na riba ya deni hilo ni sh. bilioni 5.624, ambapo pamoja na deni ni sh. bilioni 17.624.

Kampuni zingine zinazodaiwa na kiwango cha fedha kwenye mabano, ni General Tyre East Africa (sh. 13,502,430,000), KATANI LTD (sh. 5,090,220,000), Continental Ventures (sh. 4,963,822,411).

Wengine ni EMUNIO Tanzania Limited (sh. 1,770,089,625), Kiwira Coal & Power Company Limited (sh. 8,967,450,000) na Tanzania Portland Cement Company (sh. 5,751,799,404).

Wakati huo huo Utouh amemsafisha Spika wa Bunge, Samuel Sitta, kwamba madai kuwa alitumia vibaya fedha za serikali kwa ajili ya matibabu hazikuwa sahihi, kwa kuwa ukaguzi ulionyesha malipo yote yalifanyika halali.

Wazo:

  • Kwamba Hoteli ya Mbowe inadaiwa hilo halina utata.
  • Kwamba gazeti limeandika inadaiwa bilioni 58 (jumla ya madeni ya wengine wote) ni msingi mzuri wa kulifungulia mashtaka na kulitaka lilipe na kuomba radhi kwenye ukurasa wa mbele!
  • Kwamba, ingawa mtu yeyote akisoma kwa haraka anaweza kuona kuwa kati ya wakopaji wote 10 wanaodaiwa madeni hayo makubwa, la Mbowe ndilo la kiwango cha chini zaidi (milioni 230 hivi); so kwanini habari ni ya mbowe badala ya Bazaar (anayedaiwa milioni 800, au Kiwira inayodaiwa karibu bilioni 9!?)
Ninachoweza kusema nikuwa wakati mwingine siasa inaweka pazia katika reason. I can't wait kwa Mbowe kuwapiga mkwara Uhuru na kuwataka waiombe radhi MH. Kwa upande mwingine, katika hali hii ngumu ya kiuchumi na tukifuata mfano wa wakuu wa ubepari je haiwezekani kufanya settlement na makampuni yanayohusika ili hatimaye hii taarifa (ambayo ilikuwemo tangu ripoti ya 2006!) isirudiwe tena 2008/2009? On the other hand, mtu kakopa milioni 9 riba inakuja kufikia milioni 230! Huu siyo wazimu, hata kamamimi wallahi silipi! Yamekuwa mambo ya kina Merchant of Venice!?
 
Kwa hilo la kuandika kama vile Mbowe Hotels inadaiwa bilioni 58 zote nakubali ni kosa. Kama kuna wengine wana daiwa zaidi yake kwanini wameandika kana kwabwa yeye ndiyo anadaiwa hizo bilioni 58 zote? Au kama vile yeye ndiyo mdaiwa deni kubwa zaidi. A lot of things in countries like ours are politically & business motivated. Ni aidha wamefanya hivyo kuuza gazeti au wana sababu zao za kisiasa.

Kuhusu hiyo riba siwezi kukubaliana na wewe. Mtu ukikopa unapewa na masharti kisha una piga sahihi. Ukisha weka wino kwenye karatasi basi inamaanisha ume kubali masharti. Kama masharti yalikua magumu kwa nini akubali? Yeye kapata walicho kubaliana basi na yeye awape walicho kubaliana simple as that. Hauwezi kusign kitu kisha baadae useme masharti magumu, ingekua hivyo basi kunge kua hamna maana ya mikataba.

Ukweli ni kwamba kama kweli ana daiwa kiasi hicho ni sharti alipe. Alikubali mkataba basi ana takiwa kuheshimu makubaliano.
 
Mbowe hotel yadaiwa bilioni 58.7/- za NSSF

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MBOWE Hotel Ltd ni miongoni mwa wakopaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambao hawatekelezi masharti ya mikopo na kusababisha malimbikizo ya deni la jumla ya sh. bilioni 58.757.

Akitangaza taarifa ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, alisema deni hilo limesababishwa na wakopaji kumi.

Kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG, wakopaji hao ni Mbowe Hotel Ltd ambaye Machi 10, 1990 alikopa NSSF sh. milioni 7.5, lakini alishindwa kulipa deni na kusababisha limbikizo la riba ya sh. 229,898,516.

Alisema hadi Juni 30, 2008, deni la riba kwa hoteli hiyo lilifikia sh. 237,398,516. Wadaiwa wengine ni New Kilimanjaro Bazaar, ambaye kati ya mwaka 1990,1991 na 1992 alikopa jumla ya sh. 99,445,000.

Utouh alisema kuwa riba ya mkopaji huyo ilifikia sh. milioni 750.849 ambapo jumla ya riba na deni imefikia sh. milioni 850.294. Wakopaji wengine ni Kagera Sugar Company Ltd, ambayo Februari 11, 2003 ilikopa sh. milioni 12 na riba ya deni hilo ni sh. bilioni 5.624, ambapo pamoja na deni ni sh. bilioni 17.624.

Kampuni zingine zinazodaiwa na kiwango cha fedha kwenye mabano, ni General Tyre East Africa (sh. 13,502,430,000), KATANI LTD (sh. 5,090,220,000), Continental Ventures (sh. 4,963,822,411).

Wengine ni EMUNIO Tanzania Limited (sh. 1,770,089,625), Kiwira Coal & Power Company Limited (sh. 8,967,450,000) na Tanzania Portland Cement Company (sh. 5,751,799,404).

Wakati huo huo Utouh amemsafisha Spika wa Bunge, Samuel Sitta, kwamba madai kuwa alitumia vibaya fedha za serikali kwa ajili ya matibabu hazikuwa sahihi, kwa kuwa ukaguzi ulionyesha malipo yote yalifanyika halali.

Wazo:

  • Kwamba Hoteli ya Mbowe inadaiwa hilo halina utata.
  • Kwamba gazeti limeandika inadaiwa bilioni 58 (jumla ya madeni ya wengine wote) ni msingi mzuri wa kulifungulia mashtaka na kulitaka lilipe na kuomba radhi kwenye ukurasa wa mbele!
  • Kwamba, ingawa mtu yeyote akisoma kwa haraka anaweza kuona kuwa kati ya wakopaji wote 10 wanaodaiwa madeni hayo makubwa, la Mbowe ndilo la kiwango cha chini zaidi (milioni 230 hivi); so kwanini habari ni ya mbowe badala ya Bazaar (anayedaiwa milioni 800, au Kiwira inayodaiwa karibu bilioni 9!?)
Ninachoweza kusema nikuwa wakati mwingine siasa inaweka pazia katika reason. I can't wait kwa Mbowe kuwapiga mkwara Uhuru na kuwataka waiombe radhi MH. Kwa upande mwingine, katika hali hii ngumu ya kiuchumi na tukifuata mfano wa wakuu wa ubepari je haiwezekani kufanya settlement na makampuni yanayohusika ili hatimaye hii taarifa (ambayo ilikuwemo tangu ripoti ya 2006!) isirudiwe tena 2008/2009? On the other hand, mtu kakopa milioni 9 riba inakuja kufikia milioni 230! Huu siyo wazimu, hata kamamimi wallahi silipi! Yamekuwa mambo ya kina Merchant of Venice!?

Mkuu mkjji nimepiga hiyo hesabu ya riba ni asilimia 2965, yaani 2965% and this is just for 19 years. So NSSF is doing a lucrative business in TZ eeh?. Interest hii sidhani kama inapatikana anywhere in the world!!!!!!!!!!!!! Only in TZ!
 
Kama 'Dr' Masau alivyokuwa anadaiwa...dawa ya deni Mbowe alipe tuuu

Ni kweli kabisa dawa yake ni kulipa, ila akitumia vyema habari hii kwamba anadaiwa bil 58, wakati haifiki hata nusu ya hizo, wenye habari wanaweza kumsaidia kulipa hilo deni kwa kulipa garama ya dhamira yao ya kupotosha habari kwa malengo yao binafsi!
 
Ndio maana kuna post moja nimesema umefika wakati watanzania tukajua jinsi ya kupata pesa za bure, hapa Mbowe anaweza kuvuta kutoka CCM kwa kuwambia
 
Mbowe hotel yadaiwa bilioni 58.7/- za NSSF

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MBOWE Hotel Ltd ni miongoni mwa wakopaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambao hawatekelezi masharti ya mikopo na kusababisha malimbikizo ya deni la jumla ya sh. bilioni 58.757.

Akitangaza taarifa ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, alisema deni hilo limesababishwa na wakopaji kumi.

Kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG, wakopaji hao ni Mbowe Hotel Ltd ambaye Machi 10, 1990 alikopa NSSF sh. milioni 7.5, lakini alishindwa kulipa deni na kusababisha limbikizo la riba ya sh. 229,898,516.

Alisema hadi Juni 30, 2008, deni la riba kwa hoteli hiyo lilifikia sh. 237,398,516. Wadaiwa wengine ni New Kilimanjaro Bazaar, ambaye kati ya mwaka 1990,1991 na 1992 alikopa jumla ya sh. 99,445,000.

Utouh alisema kuwa riba ya mkopaji huyo ilifikia sh. milioni 750.849 ambapo jumla ya riba na deni imefikia sh. milioni 850.294. Wakopaji wengine ni Kagera Sugar Company Ltd, ambayo Februari 11, 2003 ilikopa sh. milioni 12 na riba ya deni hilo ni sh. bilioni 5.624, ambapo pamoja na deni ni sh. bilioni 17.624.

Kampuni zingine zinazodaiwa na kiwango cha fedha kwenye mabano, ni General Tyre East Africa (sh. 13,502,430,000), KATANI LTD (sh. 5,090,220,000), Continental Ventures (sh. 4,963,822,411).

Wengine ni EMUNIO Tanzania Limited (sh. 1,770,089,625), Kiwira Coal & Power Company Limited (sh. 8,967,450,000) na Tanzania Portland Cement Company (sh. 5,751,799,404).

Wakati huo huo Utouh amemsafisha Spika wa Bunge, Samuel Sitta, kwamba madai kuwa alitumia vibaya fedha za serikali kwa ajili ya matibabu hazikuwa sahihi, kwa kuwa ukaguzi ulionyesha malipo yote yalifanyika halali.

Wazo:

  • Kwamba Hoteli ya Mbowe inadaiwa hilo halina utata.
  • Kwamba gazeti limeandika inadaiwa bilioni 58 (jumla ya madeni ya wengine wote) ni msingi mzuri wa kulifungulia mashtaka na kulitaka lilipe na kuomba radhi kwenye ukurasa wa mbele!
  • Kwamba, ingawa mtu yeyote akisoma kwa haraka anaweza kuona kuwa kati ya wakopaji wote 10 wanaodaiwa madeni hayo makubwa, la Mbowe ndilo la kiwango cha chini zaidi (milioni 230 hivi); so kwanini habari ni ya mbowe badala ya Bazaar (anayedaiwa milioni 800, au Kiwira inayodaiwa karibu bilioni 9!?)
Ninachoweza kusema nikuwa wakati mwingine siasa inaweka pazia katika reason. I can't wait kwa Mbowe kuwapiga mkwara Uhuru na kuwataka waiombe radhi MH. Kwa upande mwingine, katika hali hii ngumu ya kiuchumi na tukifuata mfano wa wakuu wa ubepari je haiwezekani kufanya settlement na makampuni yanayohusika ili hatimaye hii taarifa (ambayo ilikuwemo tangu ripoti ya 2006!) isirudiwe tena 2008/2009? On the other hand, mtu kakopa milioni 9 riba inakuja kufikia milioni 230! Huu siyo wazimu, hata kamamimi wallahi silipi! Yamekuwa mambo ya kina Merchant of Venice!?
Wadau mimi ni an apologetic CCM member but this is a STUPID piece of news,
-Kwanza inaandikwa Mbowe Hotels inadaiwa 58 bil(SIJUI KAMA WANAELEWA UZITO WA HIYO FIGURE)
-Halafu Mbowe Hotels walikopa 7.5 million na kuishia na interest ya 229 million!
Mimi ni msomi na nafikiri habari hii imeandikwa na mtu MJINGA asiyejua clientele wake.
No wonder wasomi hawanunui hili gazeti!!!!
 
Kagera Sugar Company Ltd, ambayo Februari 11, 2003 ilikopa sh. milioni 12 na riba ya deni hilo ni sh. bilioni 5.624, ambapo pamoja na deni ni sh. bilioni 17.624.

Hizi data mbona zinachanganya!!
 
heheee, eti mbona "wengine" wanadaiwa pesa nyingi kuliko mbowe hotel, heheee.....hiki ni sawa na kile kilio alichotoa shyrose bhanji katika ile clip ya michuzi kwa nini abdallah majura kupita kideoni(na/au)gazetini kasema watu wametoa mchele na maharage, wakati kachumbari, pesa pia vilitolewa na haikuandikwa ! hahaaaaa
 
Back
Top Bottom