Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Ukiwa Kilaza, kweli dawa ni kulipa deni.

Hata OJ Simpson alishinda kesi pamoja na kuwa na ushahidi chungu mzima wa kumuweka ndani au kitanzi. Hapa kama kuna wakili mzuri ambaye najua Mbowe anaye, basi hii riba halipi na UHURU lazima wamlipe kwa upuuzi wao.

Ndiyo maana wakati mwingine, Mahakimu wanatumia misingi ya Haki za binadamu na si sheria inasemaje. Nilishasikia siku moja jamaa akisema kuwa kuna vitu serikali/mahakama inaweza kuvipinga hata kama kulikuwa na mkataba. Akatoa mfano kuwa "Unatangaza kuuza nguo kwa nusu bei ila kila anayenunua basi lazima avue mbele yako na kuvaa mpya/ kila anapotoka unamlamba bakora...."
Unaweza kusema "Si walitaka wenyewe...?" Ila hapo inakuja misingi ya haki za binadamu na kutengua kila kitu hata kama mtu alikuwa ameweka sahihi. Wanajua kabisa matatizo/njaa hupelekea watu kufanya/kukubali kufanya vitu vya ajabu sana.
 
Ikumbukwe hiyo kampuni ilikopa jumla ya Tshs. 72 billion (syndicate loan) wakopeshaji wakiwa ni pamoja na NSSF, CRDB Bank, Barclays Bank, Stanbic Bank, PSPF

Mkuu nahisi unachanganya madesa hapa na mkopo waliopewa TPC/Celtel na huu mkopo wa Kagera Sugar

Kumbukumbu zangu zinaniambia mkopo mkubwa iliyotolewa kama syndicate ni wa TPC ambapo CRDB ndio ilitoa sehemu kubwa the mkopo wa celtel 90million USD uliotolewa na bank 5 tofauti miaka michache iliyopita ( I stand to be corrected)
 
Unajua IRS hapa wakijua wamekutoza kodi kuliko ilivyopaswa wanakuwa na uungwana wa kukatia check kukurudishia. Hilo linafanywa pia na TRA ya kwetu. Sasa sijui kama NSSF inaweza kuwa na uungwana huo.
 
Hehehehe,

Kwanza niungane na wengine kusema Mbowe hakutendewa haki kwenye kichwa hiki cha habari.

Pili kuhusu, interest no doubt ni sahihi kabisa 230m. Kwa kawaida bank zote ukilaza interest inakuwa principle so mwezi unaofuatia nayo inachargiwa interest ... mwaka hadi mwaka.

Hivyo ukifanya assumption kwamba Mbowe Hotel haikulipa hata shillingi moja baada ya kuchukua mkopo, na mkopo ulikua unachargiwa interest 20% p.a then kwa miaka 19 atakuwa anadaiwa Ths 239,610,000 hivyo kama kuna wakati walinegotiate interest aama alilipa 10m then utaishia na hiyo 229m. Hivyo hiyo habari inaweza kuwa sahihi (for detail analysis see the attached file)

Kichakoro,
Ahsante sana kwa numbers ulizotutumia, kama ndivyo zilivyotakiwa kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya mkopo then Mbowe Hotels Ltd itabidi irudi kwenye mkataba waangalie kama kuna kipengele cha kuweza kuwasaidia, which I don't think so.
Katika moja ya michango ya mleta hoja hii alieleza kuwa pricipal ilikwishalipwa, lakini mahesabu yanaonesha kuwa haijalipwa, labda mleta hoja anaweza kutuambia kuwa principal ililipwa lini?
 
duh.. kichakoro mahesabu yake aliyafanya under a false assumption kuwa hakuna kiasi chochote kilicholipwa hadi hivi sasa. Hapo juu kuna taarifa za kiasi kilicholipwa hadi hivi sasa.

Kimsingi Mbowe Hotel anatakiwa alipe milioni 230 plus 75 milioni ambayo amekwishalipa kwa deni la milioni sijui 15! Kama siyo wazimu kulipa mimi sijui wazimu ni nini..shoot.. they can take me to jail if they want to.. I ain't paying that! well that is how I would say.
 
Hebu tuwe wa kweli, ni sababu zipi za msingi ambazo zilikuwepo kufanya deni hili la 7.5m lichelewe kulipwa?
Nadhani kitu kitakacho shawishi NSSF kukaa na Mbowe Hotels Ltd ni kutoa sababu za msingi hasa. Na hata mahakama inaweza kukubali ombi la Mbowe Hotels Ltd endapo tu kutakuwa na sababu nzito. Lakini utetezi wa mkataba wa kiukandamizaji sidhani kama unaleta tija sana.
Kwa ushauri siku nyingine mkopaji ahakikishe mkopeshaji wake anakatia bima mkopo wowote anaochukua japokuwa itakuwa gharama ya ziada kwa mkopaji, lakini itamsaidia siku akila kona.
 
Jamani mwenyewe huwa hapendi kuambiwa anadaiwa...hii ni aibu kwa ego yake na mbele ya wa chagga wenzie inamshusha hadhi

Ohoooo mwenyewe akija hapa alfajiri kutakuwa hakukaliki humu...msijesema sijakuambieni
 
- Mbowe Hotels walipe deni walilokopa haraka sana kama wanadaiwa, hakuna siasa kwenye hili la deni la benki ya wananchi, lipa unachodaiwa kulingana na masharti ya mkopo, Fulls Stop!

However:- Hawa NSSF nao kulikoni? Hivi ni Mbowe Hotels tu inayodaiwa au kuna wengine pia? Mbona wapo viongozi wengi tu wa CCM na serikali wanaodaiwa kama Sumaye hawasemwi? au?

- Mambo ya mikopo ya benki yaishie huko huko benki, sisi wananchi hayatuhusu, wasituchanganye tukasahau the agenda tuliyowekewa na Mengi, yaani mafisadi kwanza!.

Respect.

FMES!
 
Hivi mwalijua shairi la MKOPAJI na MKOPWAJI au mwapiga domo tuu humu?

FMES...jibu lako liko kwenye shairi hilo hapo juu kama ushawahi kulisoma basi utaelewa ninamaana gani
 
duh.. kichakoro mahesabu yake aliyafanya under a false assumption kuwa hakuna kiasi chochote kilicholipwa hadi hivi sasa. Hapo juu kuna taarifa za kiasi kilicholipwa hadi hivi sasa.

Kimsingi Mbowe Hotel anatakiwa alipe milioni 230 plus 75 milioni ambayo amekwishalipa kwa deni la milioni sijui 15! Kama siyo wazimu kulipa mimi sijui wazimu ni nini..shoot.. they can take me to jail if they want to.. I ain't paying that! well that is how I would say.

Nafikiri njia nzuri ya kujibu posting ya Kichakoro ni kuja na version yako inayoonesha unachotofautiana nae.
 
Hivi mwalijua shairi la MKOPAJI na MKOPWAJI au mwapiga domo tuu humu?

FMES...jibu lako liko kwenye shairi hilo hapo juu kama ushawahi kulisoma basi utaelewa ninamaana gani

- Mkulu wangu GT, liweke hapa shairi tule elimu ya bure sijawahi kuliona!

Check PM

FMEs!
 
Ebwana sina kwenye soft copy lakini nalijua baadhi ya beti...ahhh i miss malenga wetu jamani
 
Nafikiri njia nzuri ya kujibu posting ya Kichakoro ni kuja na version yako inayoonesha unachotofautiana nae.

Je kiasi cha mkopo kimeshalipwa? Hicho ndicho nilichokuwa namjibu Kichakaro.. sasa anaweza kupiga mahesabu yake upya kwani ana data zaidi. Kwa sababu kuna wanaoamini kuwa Mbowe Hotel hajalipa deni alilokopa na wameng'ang'ania alipe wakati ushahidi wote unaonesha amelipa.
 
- Mbowe Hotels walipe deni walilokopa haraka sana kama wanadaiwa, hakuna siasa kwenye hili la deni la benki ya wananchi, lipa unachodaiwa kulingana na masharti ya mkopo, Fulls Stop!

Bank ya wananchi ni ipi hiyo? NSSF?
Deni inasemekana walishalipa. Mgogoro uliopo sasa ni riba ya zaidi ya 2000% (based on calculation by one fellow in previous posts).
 
MKOPAJI in this case FREEMAN MBOWE

Hodi Bwana nimekuja, nina shida na tatizi
Nijilie Kutaka Haja, Arobaini Ghawazi
Tazileta kwa pamoja, siku mbili hizi hizi
Tafadhali nikopeshe,Haondoe haja yangu

MKOPWAJI...kwenye hili ni NSSF anajibu:

Nimekwisha kusikia,Tuliza nafsi yako
Haja nitakukidhia,Inshaalah Kitu hukosi
Shida yako si rupia? Tutakujali fulusi
Njoo Jumamosi, nami Nashauri moyo

FMES hili shairi lina beti takriba 12 na mwisho wake ndio huu wa NSSF na FREEMAN mbowe na kama uonavyo leo kwenye magazeti alalama kuwa kaonewa ilihali yeye alitakiwa sipewe hata thumuni kwani hata dhamini aliyempeleka wala hata siye aliyetakiwa kumpeleka
 
Je kiasi cha mkopo kimeshalipwa? Hicho ndicho nilichokuwa namjibu Kichakaro.. sasa anaweza kupiga mahesabu yake upya kwani ana data zaidi. Kwa sababu kuna wanaoamini kuwa Mbowe Hotel hajalipa deni alilokopa na wameng'ang'ania alipe wakati ushahidi wote unaonesha amelipa.

Samahani, sina nia ya kufanya majibizano ambayo wewe na mimi tunaelewa vizuri sana kuwa njia nzuri ni kuja na version inayoonesha kuwa alilipa mwaka fulani, kiasi fulani na mahesabu ya kabadilika. Lakini endapo hutakuja na solid evidence za kugeuza vielelezo vyake tutakuelewa umeamua kufanya hivyo for your own best reasons na pia nitaona mchango wako huenda ndiyo umefika kikomo, kitu ambacho sitarajii kutoka kwako kwa sasa hivi kwani umetuhakikishia kuwa amelipa.
 
sasa mimi ntajuaje hayo? tukubaliane kuwa hajalipa hata senti moja na uendelee kushikiria hizo hesabu za Kichakaro. Endelea kwa furaha kutaka alipe kwani hajalipa.
 
HIVI WATU WANGAPI HUMU WAKO KWENYE PAYROLL YA mBOWE NA MENGI?

I'VE LOST COUNT
 
sasa mimi ntajuaje hayo? tukubaliane kuwa hajalipa hata senti moja na uendelee kushikiria hizo hesabu za Kichakaro. Endelea kwa furaha kutaka alipe kwani hajalipa.

Mkuu,
Wewe ndiye uliyesema kuwa principal imelipwa sasa inakuwaje unasema kuwa utajuaje? au habari za kulipwa principal ni hear say? kama ni habari za kusikia basi nimekupata na tuendelee kutumia spreadsheet ya Kichakoro kama basis ya calculations ambayo ime-derive katika figure 239m iliyopo sasa from the initial amount of 7.5m
 
Mambo ya kumkoma nyani giladi...usimwachie huyo na muhimu uwe una mquote kabla hajafuta
 
Back
Top Bottom