Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Ukiwa Kilaza, kweli dawa ni kulipa deni.
Hata OJ Simpson alishinda kesi pamoja na kuwa na ushahidi chungu mzima wa kumuweka ndani au kitanzi. Hapa kama kuna wakili mzuri ambaye najua Mbowe anaye, basi hii riba halipi na UHURU lazima wamlipe kwa upuuzi wao.
Ndiyo maana wakati mwingine, Mahakimu wanatumia misingi ya Haki za binadamu na si sheria inasemaje. Nilishasikia siku moja jamaa akisema kuwa kuna vitu serikali/mahakama inaweza kuvipinga hata kama kulikuwa na mkataba. Akatoa mfano kuwa "Unatangaza kuuza nguo kwa nusu bei ila kila anayenunua basi lazima avue mbele yako na kuvaa mpya/ kila anapotoka unamlamba bakora...."
Unaweza kusema "Si walitaka wenyewe...?" Ila hapo inakuja misingi ya haki za binadamu na kutengua kila kitu hata kama mtu alikuwa ameweka sahihi. Wanajua kabisa matatizo/njaa hupelekea watu kufanya/kukubali kufanya vitu vya ajabu sana.