Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .

Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpigania uhuru anaetamba Africa !!!!! Pole sana Africa sio ya mchezomchezo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…