Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
View attachment 1859089
CCM yashinda ubunge Konde
Pemba. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Konde, Yassin Khamis ametangaza Shekha Fakhi Mpemba kuwa mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 1796. Mpemba amewashinda wenzake 11 akifuatiwa na Mohamed...