Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .

Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote

😀 😀 Faru John katika ubora wake
 
Daah hatari, na mtemi isike alipewa wap mkuu
Walimpa Tabora huko kwa Wanyamwezi. Anyway, nimecheka sana jinsi jamaa alivyo present ujumbe wake, so kwa maneno mengine (kwa mujibu wa mleta UZI ) police/serikali inamuogopa Mbowe? Hili limenichekesha sana
 
Walimpa Tabora huko kwa Wanyamwezi. Anyway, nimecheka sana jinsi jamaa alivyo present ujumbe wake, so kwa maneno mengine (kwa mujibu wa mleta UZI ) police/serikali inamuogopa Mbowe? Hili limenichekesha sana
Lazima waogope maana Mbowe ana uwezo mkubwa wa organize watu against polisi ,na polisin ni wachache,na kumbuka serikali haina hela za kuhonga tena,hali mbaya sana uku serikalini kifedha
 
Wafuasi wa Mbowe wameishaachiwa tena bila kesi yeyote arudi msibani hamna mtaji wa kisiasa.
Mkuu amekacha msiba kwa ajiki ya perdiem za chama ,chezea hela wewe ? halafu eti wanataka kutawala
 
CHADEMA tunajitoa UHAI wetu ili kukomboa Viumbe FUKALA na DUNI kama wewe na MaCCM wenzio, mliogeuzwa MISUKULE Lumumba.
Haha povu.

Mwana BAVICHA. Ungekuwa umejitoa uhai usingekuwako kucomment humu. Ewe Kibodi waria
 
Haha povu.

Mwana BAVICHA. Ungekuwa umejitoa uhai usingekuwako kucomment humu. Ewe Kibodi waria
Hamna povu wala Sabuni mkuu, uwo ndio ukweli, vumilia.. hatupoi mpaka tutakomboa tu kutoka Makucha ya mkoloni CCM.
 
Mama kawapa uhuru halafu mnamuona fala tena na kuanza kumsumbua....muulize mwamba kwanini alijificha dubai...? na kuwaacha makamanda..
Mkuu msumari, hivi uhuru wako wa kuamua mambo unamtegemea mtu? Mtu unapokuwa huru unafanya mambo yako kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi kwa mujibu wa KATIBA huna sababu ya kumtegemea mtu, ila kama mambo yako ni ya kiujanja ujanja bila kufuata KATIBA YA NCHI ni lazima utamtegemea mtu kama kinga yako.
 
Kweli kanigusa kwa kuwa kupitia siasa zake maji toka ,kuna wanachi waengi tu future zao zimeharibiwa na huyu kiumbe aka TONDO
Mkuu Makupa kupitia huyu mtu vijana wengi wamepata vyeo vikubwa katika Serikali hii, kama akina Silinde, Waitara na wengine wengi tu kutoka mikononi mwa mtu huyu.
 
Back
Top Bottom