Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
For him Politics is much better than bereavement pambaneni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For him Politics is much better than bereavement pambaneni
Ni utoto unakusumbua, ukikua utaelewa kwa nini ameenda Mwanza.
Mbowe haitaji praise kama yule bi, Chokochoko.Umejitolea nini. ?
Kutwa kupiga pambio kumpraise Mbowe.!
Kwa hiyo Lisu, Msigwa, Mbowe, Sugu, Mnyika wote hao ni masikini?Tajiri atake cheo cha kazi gani ?
Wewe unajitofautishaje na Cyprian Musiba!? 🤣🤣🤣Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
View attachment 1859089
Mtoto wa mjini MboweMpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
View attachment 1859089
Hili jinga (TONDO) sijui kwa nini serikali hailifungi.Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
View attachment 1859089
Mtoto wa mjini Mbowe
FAKE NEWS!!
Unawaamini watu gani ?Mbowe apewe heshima yake kwa kuongoza chama chenye nguvu Tz.
Ila huwa siwaamini wanasiasa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hilo ndio jina jipya alilopewa huko Pemba
Kule moshi kapewa jina la TONDO yaani hajielewiMmh Abubakar Mbowe
Hawa viwavi wa CDM wangejua kuwa huyu jamaa anakimbizana na per diem hadi kakacha msiba sijui wangejisikiaje😂😂😂😂 mpigania uhuru anaetamba Africa !!!!! Pole sana Africa sio ya mchezomchezo
Unafikiri kwa nini wamekimbilia kwenye siasa?Kwa hiyo Lisu, Msigwa, Mbowe, Sugu, Mnyika wote hao ni masikini?
HahahahaTajiri atake cheo cha kazi gani ?
Itakuwa mbowe kakugusa pabayaNdio maana ninasema Mbowe ni mjinga mjinga tu (TONDO) ,unafikiria anapoenda Mwanza chama kinamgaramia shilingi ngapi? kwa kuwa ni TONDO anaone ni bora akache msiba akimbilie per diem
Mmekwisha zika sasa mnataka mtambike? Mnashinda mnakunywa pombe kuondoa machungu ya msiba!