Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

 
Chadema haitashiriki huo uchafu hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vipatikane
 
Hongera Mwamba, lazima mapambano ya ukombozi wa kweli yaendelee.
 
Mama kawapa uhuru halafu mnamuona fala tena na kuanza kumsumbua....muulize mwamba kwanini alijificha dubai...? na kuwaacha makamanda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…