lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Mbowe ni Mtu hatari Sana ,ataendelea kuiaibisha CCM Sana.Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
Legacy ya mwendazake.Karibu katika jiji la Mwanza kamanda 😊
View attachment 1859095
Ukipenda siasa bila kua na njaa poa Sana asikwambie mtu mkuuTajiri atake cheo cha kazi gani ?
"Watapata taabu sana " amehamishiwa Mwanza?Karibu katika jiji la Mwanza kamanda 😊
View attachment 1859095
Huyo nasikia kastaafu, ila maji yakizidi unga labda atarudishwa ulingoni"Watapata taabu sana " amehamishiwa Mwanza?
Mungu ibariki CHADEMAMpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi .
Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa mateka wakaachiwa bila masharti yoyote
[emoji2][emoji2][emoji2]Tabora , kwenye operesheni haki , jamani hebu fuatilieni mambo ya nchi yenu
Akili yako inaishia tunduni...huko ndo mahalapake kwenye gesi Asilia