Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #101
umasikini wa akili ni mzigo kuliko gunia la misumaliUtafanya nini wewe Bwashee! Unadhani kutishia dola ni sawa na kunywa Konyagi kubwa?
Katika vyama vyote vya siasa umeona chama gani ambacho mgombea wake alifanya mikutano ya hadhara wakati wa kutafuta wadhamini?
Sasa naomba akatwe alafu tuone mtafanya nini!
hata Gadaffi alikuwa na filimbi kama wewe lakini mwisho wa siku aliokotwa kwenye mtaro wa mavi
hata kwa Gadaffi ujinga kama wako ulisemwaVibwengo ni vibwengo tu subiri mtaita maji mayii mmaa
Kweli kabisa. Wewe si uko mbele ya waliberaliUko nyuma yake wewe na familia yako ,sisi hatuko naye kabisa.
Mtathibiti vipi?Kiukweli, fitina za kisiasa popote pale haziepukiki....
Lakini CCM na serikali wanayoingoza wameshavuka kwenye viwango vya fitina sasa wanatumia nguvu kulazimisha mambo kwa kuvunja sheria na katiba waziwazi na hivyo kuuvuruga uchaguzi huu na kuvuruga amani kabisa ya nchi yetu nzuri....
Katika hili mtu anaweza kujiuliza; Hivi Tundu Lissu aenguliwe kwa sababu zipi hasa za kisheria....??
Mimi bwana, sijaona vigezo vya kisheria wala kimaadili vitanavyoweza kutumika kumuengua....
Hakuna, hakuna, hakuna...!!!
Mpango ambao ulisukika na kuonekana uta - work out ni huu wa kutumia kesi kwa kushirikiana na NEC...
Bahati njema ni kuwa, umegundulika mapema na unaweza kudhibitiwa kirahisi tu....
Mimi nina hakika, kuwa, Tundu Lissu mpaka sasa ni mgombea halali wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, na hakuna wa kumzuia....
Mwamuzi atakuwa BALLOT BOX siyo maamuzi ya mezani...
Yani vyama ni Zaid ya 20 na wagombea wa urais alafu mbowe aje atuambie kua hakuna uchaguz kama wao wata tolewa Mgombea wao mvunja sheria mbowe who are you [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Nyie wahun wa chadema mtafanya Nini kuku nyieNaishi leo lakini naifikiria kesho, naiomba Tume ya Uchaguzi Tanzania itoe mchango wake katika kulinda amani ya taifa letu, hasa kipindi hiki tukielekea uchaguzi mkuu, pasiwepo na jambo lolote litakalosababisha kuzua taharuki isiyo ya lazima.
Kwan mbowe ndio nani?
Subiri uone