Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akatwe tu kama hajakidhi matakwa ya sheria!Nawaomba NEC wachague zimwi nafuu kati ya KUMKATA Lissu na KUMTEUA agombee. Kwa maoni yangu ni nafuu kumteua agombee kuliko kumkata kwani sijaona sababu hasa ya kufanya akatwe ili asigombee lakini kama ataachwa agombee itawezekana chama tawala kushinda uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo NEC. NEC watumie hekima ili kutowatia watanzania katika majaribu. Watanzania wa leo si wale wa jana.
Nawaomba NEC wachague zimwi nafuu kati ya KUMKATA Lissu na KUMTEUA agombee. Kwa maoni yangu ni nafuu kumteua agombee kuliko kumkata kwani sijaona sababu hasa ya kufanya akatwe ili asigombee lakini kama ataachwa agombee itawezekana chama tawala kushinda uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo NEC. NEC watumie hekima ili kutowatia watanzania katika majaribu. Watanzania wa leo si wale wa jana.
Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Ndio Mkuu nitakuwa Frontliner.Bila shaka utakuwa msitari wa mbele karibu kabisa na huo mstari mwembamba
Kila siku siyo jumapiliAkatwe tu kama hajakidhi matakwa ya sheria!
Hii ndio kitu tunataka kusikia....YESHili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
NEC haitakubali ku set a bad precedent na itakuwa historia mbaya sana for future electionsNawaomba NEC wachague zimwi nafuu kati ya KUMKATA Lissu na KUMTEUA agombee. Kwa maoni yangu ni nafuu kumteua agombee kuliko kumkata kwani sijaona sababu hasa ya kufanya akatwe ili asigombee lakini kama ataachwa agombee itawezekana chama tawala kushinda uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo NEC. NEC watumie hekima ili kutowatia watanzania katika majaribu. Watanzania wa leo si wale wa jana.
Something is wrong here, yaani hadi mbowe kaandika hivyo ujue kuna kitu cha ajabu kishapangwa na system.
NEC haitakubali ku set a bad precedent na itakuwa historia mbaya sana for future elections
Njama zenu mbovu za kishetani ipo siku mtazijutia.Mbowe hamhitaji Lisu maskini Nani asiyejua kuwa alimhitaji Nyalandu mwenye pesa ndio maana kamati kuu ilimkataa Lisu .Baraza kuu likatengua maamuzi ya kamati kuu Mbowe kachanganyikiwa .Tume mwacheni Lisu agombee Mbowe anywe sumu akitaka
Njia ya kuua rushwa chadema Tume mpeni Lisu ugombea Hana hata Mia ya kumpa Mbowe
Mpitisheni Lisu Mbowe anywe sumu akitaka kwa kukosa rushwa
Kwani mwenyekiti umekula sh ngapi za mabeberu mbona uko ress sana...Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Mkuu asante kwa imani iliyo tukuka, yaani kuamini kwa hali ilivyo leo Chadema inashinda?
Well saidKiukweli, fitina za kisiasa popote pale haziepukiki....
Lakini CCM na serikali wanayoingoza wameshavuka kwenye viwango vya fitina sasa wanatumia nguvu kulazimisha mambo kwa kuvunja sheria na katiba waziwazi na hivyo kuuvuruga uchaguzi huu na kuvuruga amani kabisa ya nchi yetu nzuri....
Katika hili mtu anaweza kujiuliza; Hivi Tundu Lissu aenguliwe kwa sababu zipi hasa za kisheria....??
Mimi bwana, sijaona vigezo vya kisheria wala kimaadili vitanavyoweza kutumika kumuengua....
Hakuna, hakuna, hakuna...!!!
Mpango ambao ulisukika na kuonekana uta - work out ni huu wa kutumia kesi kwa kushirikiana na NEC...
Bahati njema ni kuwa, umegundulika mapema na unaweza kudhibitiwa kirahisi tu....
Mimi nina hakika, kuwa, Tundu Lissu mpaka sasa ni mgombea halali wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, na hakuna wa kumzuia....
Mwamuzi atakuwa BALLOT BOX siyo maamuzi ya mezani...