Uchaguzi 2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

Uchaguzi 2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

Ameandika Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe "Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo"
Screenshot_20200824-174751_Twitter.jpg
 
Something is wrong here, yaani hadi mbowe kaandika hivyo ujue kuna kitu cha ajabu kishapangwa na system.
 
KANYAMA,
Pole sana, kushangilia na kujivunia udhalimu haujawahi kuwa ni ujanja.
Shimo unaloendelea kulichimba utakuja tumbukia mwenyewe.
Utakapoanza kulia hata shetani anaekuswaga hatakuwapo kukuliwaza. SASA BASI. AMEN
 
YEHODAYA,
Pole sana, shetani anakusumbua sana. Kama kweli humtaki basi anza kwa kumkemea katika jina la YESU mnazareti.
 
Shetani anamuogopa sana Lissu.
Anajua kuwa Lissu akiwa Rais atatupwa kuzimu kwa matendo yake machafu
Atulie tu huyu John. Lisu ashasema hatolipa kisasi. Lkn mzimu wa hatia wa yale mabaya aliyomfanyia Lisu ndiyo unamtesa John. Haamini kama ahadi ya Lisu ni ya dhati.
 
Mpaka ameleta hiyo tweet.......basi Tume wameshakula kichwa asubuhi tu......

Kesi zilizo mahakamani binafsi naona zinaweza kuwa Fimbo ya kumchapia TL
Mtanyooka tu; this time myanyooka tu; Msimponze Mwenyekiti wa Tume..na Jaji mkuu .kwa woga wenu wa kushindwa uchaguzi!!
Mtambumbulua mengi mno!!
 
Huyu anatujaza upepo halafu mwisho wa siku anaufyata Kama ile issue ya UKUTA.

Nasubiri kumshangaa Lisu aliyenusurika risasi16 kama atagwaya maji ya washawasha.
 
Salaam kwa Robert Amsterdam.......Jina la mteja wake linakatwa tu!
Mbowe kaja na mbinu ile ile aliyotumia kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa!
 
Yeye mwenyewe #noLISSUnoELECTION ...huo msimamo anao?
 
Mtanyooka tu; this time myanyooka tu; Msimponze Mwenyekiti wa Tume..na Jaji mkuu .kwa woga wenu wa kushindwa uchaguzi!!
Mtambumbulua mengi mno!!
Mkuu woga wa nani sasa? Unamaanisha Mbowe au uoga upi huo?
 
Binafsi naomba Lissu apite pamoja na uvunjifu wa kanuni aliofanya. Tatizo NEC wakifanya ivyo Lissu na wenzake watadhani wanaogopwa; wakati wenzao wameamua kutumia busara.

Kwa mtazamo huo ingekuwa serikali za mabeberu wangemkata bila ya kujali what next kwa sababu moja tu vyombo vyao vya ulinzi ulaya avipendi mikwara wala kuwekwa ransom.

We ukishika raia wao nje ya nchi utake ransom wako radhi watume askari wao kuja kwenye mission yenye gharama zaidi ya ulichoomba kuwatoa kama inawezekana na kama ikishindikana wapo tayari uwauwe tu labda wananchi wajichangishe wenyewe watoe hiyo hela. Lakini serikalini watakwambia wao awafanyi negotiations na terrorists.

Ndio CDM ata kwa wale ambao tungependa kuona Lissu anapewa nafasi ya kugombea, kutokana na kauli zao za vitisho unajikuta una split opinion upande mwingine unataka Lissu akatwe halafu tuone huo ubavu wao.
 
Wasiwasi wajumbe watachomoa betry? 😱😡 yarabi tuvushe salamaaaa

Ujazwaji wa fomu ya maadili ya viongozi 😉
 
Halahala Wanasiasa na Maneno Yenu....

Halahala Kidole na MACHO....

Halahala Wanasiasa WETU Maana JOHN MAGALLE SHIBUDA ameliongelea Leo TU...yaani Leo Hii pale DODOMA....

Mtafuteni mumsikilize John MAGALLE SHIBUDA.....

Eeeh WANASIASA NYINYI......eeeeh eeeh eeeeh....
 
No Tundu Lissu ni Election. Tuko pamoja na ww mwenyekiti wetu....

Sasaaaa.... Baaasssss........ 🤔🤔😒😒
 
Back
Top Bottom