Mbowe akataliwa Dar es Salaam! CHADEMA imekufa rasmi....

Mbakize hekima na Kesho

Ngoja nikale daku langu kabla ya vurumai.
Sikwemoo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Magufuli alikimbia katiba mpya yanayoendelea sasa kila mtu asali kwa sababu angekubali katiba mpya mambo ya ushungi yasingukuwa na tija
Acha kujidanganya ccm ina mjumbe kila baada ya nyumba kumi wajumbe tu waliokua nao wakisema wapige kura inashinda uchaguzi
 
Yani sijaelewa ulitaka tuone nini hapo maana yuko matembezeni na sio mkutano wala maandamano.
Naona ulitaka Watu waandamane nae ili mpate sababu ya kuwaua kama Akwilina.
Mashetani wakubwa wenye kiu ya damu za Watu
Namuona kamanda hapa akihangaika kujificha kwenye mkaranga.......heheheeeee!!
 

Wewe ni daraja la chini sana kwa Mbowe, siasa za nchi zinamtambua Mbowe wewe hata kufahamika hufahamiki.

Alipotoka jela alienda Ikulu, wewe inawezakana mpaka unaingia kaburini hutakanyaga Ikulu yeye anayajua mengi ya hii nchi kuliko wewe na fake id yako hapa JF[emoji23][emoji23]
 
Ni jambo zuri kuwa unaifuatilia Chadema.
Kuhusu kufa walioitabiria wametangulia wao.
 
Kama kweli unaamini ulichoandika, iambie serikali yako ya CCM iruhusu mikutano ya kisiasa/hadhara kesho asubuhi halafu uone kitakachotokea.
Kitatokea nini hakuna jipya hapo
 
[emoji23][emoji1787] Wamezidi siasa za kiharakati, lakini kwenda kuomba kwenye kaburi la yule shetani itakuwa ndio wanajizika kabisa

Dawa ni kuunga mkono serikali ya Samia, wakubali maridhiano, wachukue ruzuku wafanye mambo yao
Kwani ruzuku hawachukui ? Endelea kudanganywa
 
Kwa hari ya sasa ambayo wananch tunapitia chadema walipaswa wengine hata kuwa rumande hawakupaswa kuwa kimya wala kuwa praise timu ya mama mtaani hari mbaya
 
Wewe ulikuwa wapi wakati huo
 
Kama kweli unaamini ulichoandika, iambie serikali yako ya CCM iruhusu mikutano ya kisiasa/hadhara kesho asubuhi halafu uone kitakachotokea.
Umesahau wakati wa uchaguzi Mkuu 2020 kilichomtokea Lissu Dar es salaam? Chadema lazima mkubali Dar mlishaipoteza since Lowassa alivyoondoka.
 
Hiyo picha ya juu, yaani watu waache kufuatilia mikeka yao kisa Mbowe?
 
CHADEMA wamebaki wavuta bangi tu pale. Angalau Lissu kidogo anajielewa.
 
Japo Mimi si chadomo wala timu mwendazake alichofanya Jana mbowe tegeta bahati nilikuwepo kitaani kilifana Sana
UONGO SI JAMBO JEMA.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ni upumbavu ambao sijawahi kuuona hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ