Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

Wewe jamaa unajikosea heshima
Watu wako mbele ya wakati kuliko Simbilisi za hapo ufipa bwashee 😄😄

Mbowe yuko team Upendo Kwaya Kijitonyama inavyotaka kutoa First lady wakati wowote mapema zaidi

Lisu ni wa 2030 team Moja Takatifu la Mitume

Merry Christmas 🌹😃
 
Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.

Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.

Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.

Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.

Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.

Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.

Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.

Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.

Mshauri hauawi.
Kwanini asijiuzulu leo? Ama asigombee kabisa. Ati akishinda ajiuzulu, tumekubaini lengo la uzi huu ni kumpigia tu kampeni ya ushindi.
 
Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.

Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.

Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.

Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.

Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.

Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.

Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.

Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.

Mshauri hauawi.
Mbowe hawezi kushinda asilani abadani.
 
Kama wewe humtaki kuna wanaomtaka.
Nani anamtaja huyo sell out. Sisi diehard fans wake tulisimama na chama tokea mgogoro na Zitto na baadae Slaa ila tumemchoka sasa. Subiri agombee na urais mwakani aanze kuzomewa kwenye campaign ndio utaelewa tunachosema.

Hana uwezo wa kushawishi umma tena
 
Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.

Huna hata aibu mkuu🤣 kwamba Mugabe akatoe walioshikilia ofisi miaka mingi?
 
Nani anamtaja huyo sell out. Sisi diehard fans wake tulisimama na chama tokea mgogoro na Zitto na baadae Slaa ila tumemchoka sasa. Subiri agombee na urais mwakani aanze kuzomewa kwenye campaign ndio utaelewa tunachosema.

Hana uwezo wa kushawishi umma tena
Atozomewa na hii itam-torture kisaikolojia .

Ame-fake struggle

Nakumbuka mwaka 2012 katika uchaguzi mdogo Arusha kuna jamaa alichinjwa na msumeno

Just imagine ni namna gani watu wali-sacrife Kwa ajili ya chadema

Kipindi kile Joshua Nassary anaenda kuwa mbunge ilikuwa 2012.
 
Nani anamtaja huyo sell out. Sisi diehard fans wake tulisimama na chama tokea mgogoro na Zitto na baadae Slaa ila tumemchoka sasa. Subiri agombee na urais mwakani aanze kuzomewa kwenye campaign ndio utaelewa tunachosema.

Hana uwezo wa kushawishi umma tena
Ulisimama naye wapi ulikuwa peke yako.
 
Kama mbowe atashida ushindi wake utakuwa umepooza sana. Atabaki na wajumbe wanaomuunga mkono na wale wenye maslahi.
 
Ulisimama naye wapi ulikuwa peke yako.
Hujui lolote kuhusu tulivyojitoa kwa hiki chama kwahiyo kaa kimya tu. Hivi unadhani ni rahisi watu wa Kalinzi (Kigoma Kaskazini) tumkatae zitto in favor of Mbowe? Unajua cost tulizolipa?

Huyu ametuumiza sana moyo, tunajuta hata kumuacha kijana wetu kisa huyu tapeli. Na wakimchagua tena I'm so done with CHADEMA nitaachana na siasa milele.
 
Back
Top Bottom