Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

Hujui lolote kuhusu tulivyojitoa kwa hiki chama kwahiyo kaa kimya tu. Hivi unadhani ni rahisi watu wa Kalinzi (Kigoma Kaskazini) tumkatae zitto in favor of Mbowe? Unajua cost tulizolipa?

Huyu ametuumiza sana moyo, tunajuta hata kumuacha kijana wetu kisa huyu tapeli. Na wakimchagua tena I'm so done with CHADEMA nitaachana na siasa milele.
Kila mtu anaweza kusema hivyo, uliumia wapi, unafikiri Tanzania ni Kalinzi pekee.
 
Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.

Na sisi tupo wengi, ukitaka kuamini hilo subiri wamchague Mbowe utaona majibu yake kampeni za 2025!!
 
Binafsi, kwenye ngazi ya wilaya, nimekwishakisaidia chama hiki zaidi ya milioni 100.

Kwa yanayoe delea sasa, ni aheri ningekuwa nimetumia hela hiyo kusaidia maskini ili nijiwekee hazina mbinguni.

Watu wengi wamekisaidia sana chama hiki kwa namna mbalimbali hasa ngazi za chini maana hakuna hata shilingi mia inayoenda mikoani au wilayani. Kila kitu watu wanajitolea. Huku juu, ndiko gharama zote hulipwa na chama.

Cha ajabu ni kuwa hawa ambao kila wanachofanya wanajilipa, wanajiona kuwa ni wamiliki wa chama kuliko wanaotoa hela mifukoni mwao, wanaotoa muda wao na ujuzi wao bila malipo.

CHADEMA bila ya hawa wa ngazi za mikoa na wilaya wanaojitolea, hakuna chama. Hata gharama za kesi za viongozi wa ngazi za chini na wanachama wa kawaida, zinazotokana na harakati za kisiasa za chama, zinachangwa na watu wenye mapenzi mema. Lakini kesi za viongozi wa ngazi ya Taifa zinagharamiwa na chama!!

Kwa ujumla uongozi wa Mbowe, una kasoro, mapungufu na matobo mengi. Ni aheri angewaachia na wengine.
 
Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.

Na sisi tupo wengi, ukitaka kuamini hilo subiri wamchague Mbowe utaona majibu yake kampeni za 2025!!
You are completely right. Mapungufu yake watu waliamua kuyasameha, lakini kwa yeye kuendelea kung'ang'ania, na kwa vile wapo machawa na wanafiki wafaidika wanaompa matumaini, tusubiri aibu itakayotokea.

Akichukua uwenyekiti, agombee na Urais. Nina uhakika kwenye Urais, hawezi kupata hata 5%.
 
Huna hata aibu mkuu🤣 kwamba Mugabe akatoe walioshikilia ofisi miaka mingi?
Ni ushauri ila akiona poa poa tu almradi baada ya uchaguzi mkuu ajiuzulu asisubiri aibu.
 
hamuoni kuwa chama kitatikisika pakubwa akimfukuza lissu?
Hafukuzwi mtu aachwe aamue mwenyewe,

Kabouru hakufukuzwa
Zitto hakufukuzwa
Arfi hakufukuzwa
Katambi hakufukuzwa
Mashinji hakufukuzwa
Kafulila hakufukuzwa
Slaa hakufukuzwa,

Waliondoka kwa hiyari zao lkn chama kinadunda.
 
Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.

Mshauri hauawi.
Kwa nini asiondolewe kwa kutumia fursa hii ya uchaguzi, badala yake yaje yafanyike mapinduzi ambayo ni kinyume na demokrasia ambayo ndiyo imani kuu ya chama?
 
hamuoni kuwa chama kitatikisika pakubwa akimfukuza lissu?
Mbowe akiondoka ndio Chadema itakufa. Lissu HAJAWAHI kukijenga chama hata siku moja. Siku zote hujizungumzia yeye tu. Kwa kifupi, Lissu ni mbinafsi sana tofauti na Mbowe ambaye siku zote yupo kwa ajili ya chama!
 
Akikumbatie tu hicho kiti mpaka afie hapo, miaka 20 halafu aje aibe hoja za Lissu za Reforms ndani ya Chama.

Mbowe amechoka kimawazo.
 
Kwa nini asiondolewe kwa kutumia fursa hii ya uchaguzi, badala yake yaje yafanyike mapinduzi ambayo ni kinyume na demokrasia ambayo ndiyo imani kuu ya chama?
Acha kwanza ashinde huu uchaguzi awazibe midomo lopolopo.
 
Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.

Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.

Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.

Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.

Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.

Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.

Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.

Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.

Mshauri hauawi.
🤣 🤣 🤣
 
Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.

Na sisi tupo wengi, ukitaka kuamini hilo subiri wamchague Mbowe utaona majibu yake kampeni za 2025!!
Kuna wengi wali sacrifice tena inawezena zaidi yako.

Mpo wengi wapi?
 
Binafsi, kwenye ngazi ya wilaya, nimekwishakisaidia chama hiki zaidi ya milioni 100.
Dah Lissu kaharibu vijana wengi... kipindi hiki kila mtu atasema lake.
 
Mbowe cdm kama mwembe wake wa huani anajichumia tu anavyotaka.
 
Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.

Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.

Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.

Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.

Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.

Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.

Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.

Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.

Mshauri hauawi.
Wewe ni CHAWA wa mbowe?
 
Kwani ndio katiba yao inasema?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom