Kila mtu anaweza kusema hivyo, uliumia wapi, unafikiri Tanzania ni Kalinzi pekee.Hujui lolote kuhusu tulivyojitoa kwa hiki chama kwahiyo kaa kimya tu. Hivi unadhani ni rahisi watu wa Kalinzi (Kigoma Kaskazini) tumkatae zitto in favor of Mbowe? Unajua cost tulizolipa?
Huyu ametuumiza sana moyo, tunajuta hata kumuacha kijana wetu kisa huyu tapeli. Na wakimchagua tena I'm so done with CHADEMA nitaachana na siasa milele.
Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.Kila mtu anaweza kusema hivyo, uliumia wapi, unafikiri Tanzania ni Kalinzi pekee.
You are completely right. Mapungufu yake watu waliamua kuyasameha, lakini kwa yeye kuendelea kung'ang'ania, na kwa vile wapo machawa na wanafiki wafaidika wanaompa matumaini, tusubiri aibu itakayotokea.Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.
Na sisi tupo wengi, ukitaka kuamini hilo subiri wamchague Mbowe utaona majibu yake kampeni za 2025!!
Ni ushauri ila akiona poa poa tu almradi baada ya uchaguzi mkuu ajiuzulu asisubiri aibu.Huna hata aibu mkuu🤣 kwamba Mugabe akatoe walioshikilia ofisi miaka mingi?
Hafukuzwi mtu aachwe aamue mwenyewe,hamuoni kuwa chama kitatikisika pakubwa akimfukuza lissu?
Kwa nini asiondolewe kwa kutumia fursa hii ya uchaguzi, badala yake yaje yafanyike mapinduzi ambayo ni kinyume na demokrasia ambayo ndiyo imani kuu ya chama?Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.
Mshauri hauawi.
Mbowe akiondoka ndio Chadema itakufa. Lissu HAJAWAHI kukijenga chama hata siku moja. Siku zote hujizungumzia yeye tu. Kwa kifupi, Lissu ni mbinafsi sana tofauti na Mbowe ambaye siku zote yupo kwa ajili ya chama!hamuoni kuwa chama kitatikisika pakubwa akimfukuza lissu?
Chadema bila Lissu kitakuwa imara zaidi kuliko Lissu kuendelea kuwepo.Itasaidia sana kuhakikisha CHADEMA inakufa na kubakia kuwa chama cha kwenye makaratasi.
Acha kwanza ashinde huu uchaguzi awazibe midomo lopolopo.Kwa nini asiondolewe kwa kutumia fursa hii ya uchaguzi, badala yake yaje yafanyike mapinduzi ambayo ni kinyume na demokrasia ambayo ndiyo imani kuu ya chama?
🤣 🤣 🤣Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.
Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.
Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.
Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.
Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.
Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.
Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.
Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.
Mshauri hauawi.
Kuna wengi wali sacrifice tena inawezena zaidi yako.Ndio maana nasema it was a big sacrifice to reject our very own just to side with Mbowe, who in turn has betrayed the very cause he once agitated for.
Na sisi tupo wengi, ukitaka kuamini hilo subiri wamchague Mbowe utaona majibu yake kampeni za 2025!!
Dah Lissu kaharibu vijana wengi... kipindi hiki kila mtu atasema lake.Binafsi, kwenye ngazi ya wilaya, nimekwishakisaidia chama hiki zaidi ya milioni 100.
Wewe ni CHAWA wa mbowe?Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama.
Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia.
Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai.
Usisahau kutibu majeraha na majeruhi wa uchaguzi yaunganishe makundi.
Kwa kushirikiana na viongozi wakuu, washauri, Kamati Kuu, Baraza Kuu andaeni atakayerithi mikoba yako, sio lazima awe public figure, lkn awe loyal kwa chama, aheshimu viongozi, katiba na wanachama.
Kazi hiyo uifanye ndani ya mwaka mmoja probably baada ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani ni wakati wako mwafaka wa kujiuzulu.
Kama Lissu atakuwa bado mwanachama hai mshirikishe, yeye ni chachu ya mageuzi ndani na nje ya chama lkn si kwa nafasi ya Mkiti.
Kwa hali ya hewa ilivyo sasa usipojiuzulu kwa hiyari tegemea mapinduzi kama ya NCCR ya Mrema na Marando. Usipuuzie.
Mshauri hauawi.
Sawa jidanganyeni tu majibu mtayapata kampeni za 2025!!Kuna wengi wali sacrifice tena inawezena zaidi yako.
Mpo wengi wapi?
Amzibe mdomo nani? Heche? Lissu? Lema? Unajidanganya weweAcha kwanza ashinde huu uchaguzi awazibe midomo lopolopo.
Mbowe inamtosha hiyo 20.Kama wewe humtaki kuna wanaomtaka.