Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

Tueleze maslahi yako ndabi ya CHADEMA hafi uamue kuwa mshauri wa kujitokea wa Mbowe?
 
NA LISSU AKISHINDA MTAMFUKUZA AU MTAMWACHA AKIVURUGE CHAMA?
 
Lissu ni kansa na kirusi ambaye hapaswi na kustahili kubakia na kusalia CHADEMA.
Sidhani kama nchi hii Kuna mtu ambaye ni cancerous kuliko CCM na wanachama wake na hasa nyie machawa WA mafisadi yaliyojazana huko CCM.

Sasa Kabla hatujafikiria kudeal na Lissu hebu Mimi na wewe tushirikiane kwanza kuing'oa CCM hapo October, maana ndio chanzo Cha matatizo yote yanayolikumba taifa hili, tumeelewana!???
 
Eti mbowe anapigiwa kampeni na nzi wa kijani?
Haya nayo maajabu
 
Jamaa walitaka kumpindua Mbowe bana, kumbe join the chain walikuwa wapate pesa waitishe Baraza kuu na mkutano mkuu wamalize biashara wakati Mwamba yupo gelezani - aisee binadamu unakula naye kumbe....

Asante Wenje - mapinduzi yashakwama
 
We unafikiri Lissu atakubali kubaki kuwa mwanachama wa chama kinachoongozwa na Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi?
Lissu atajiamulia kubaki au kutoka.
Lakini kwa kitabu cha Dr Slaa,nadhani amesomeka vizuri.
Lissu Kutafuta uongozi Chadema atakuwa anataka kuonja sumu.Kwa kuwa Dr Slaa amemuubua vibaya sana.Nadhani Lissu ajiondoe kwenye kinyanganyilo cha tarehe 21 Jan 2025.
 
Eti mbowe anapigiwa kampeni na nzi wa kijani?
Haya nayo maajabu
Sipo kupiga kampeni hapa maana kama mshindi anahamika tayari kuwa ni Mwamba na Jabali la Siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe
 
Sina maslahi yoyote ile na CHADEMA.
Zwazwa huwa anajibu kizwazwa kama jibu lako.

Hizi posts za kumpigia kampeni Mbowe zinakutenganisha vipi na pesa za Abdul na mama yake zinazosumbua CHADEMA wakati huu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…