Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We chawa umehamia Chadema saivi au njaa kali unapiga na part timeNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu chamani ili asiendelee kukivuruga chama na kukigawa.
Lissu anapaswa kufukuzwa haraka sana kwa sababu tayari ni kansa kwa CHADEMA ambayo ikiachwa ikae na kusalia itakitafuna na kukiangamiza kabisa chama. Lissu kwa sasa ni kama adui wa chama anayepaswa kupingwa na kuogopwa kama ukoma.
Kwa sasa hana uchungu na CHADEMA na amedhamiria kukiangamiza CHADEMA kwa hasira kubwa sana.hii unaweza kuona matamko na maneno yake anajiropokea kila uchao namna yanavyoendelea kuleta taharuki,mgawanyiko na kuondoa kabisa umoja wa chama.kila siku anafanya kazi ya kukidhalilisha chama na kukivunjia sifa kubwa kiliyojijengea kwa jasho na Damu kwa miaka mingi.
Ikumbukwe ya kuwa lissu ni wakuja CHADEMA.pegine ndio maana hajui gharama iliyotumika kuijenga na kuifikisha hapo ilipo CHADEMA.hii ndio sababu pengine hana uchungu na CHADEMA na ndio maana anaropoka muda wote Utafikiri ana matatizo kichwani mwake.Lissu ameikuta CHADEMA ikiwa imara na yenye mtandao mpana wa uongozi na wanachama maeneo mbalimbali Nchini.
Sasa anaivunja vunja na kuibomoa kwa kasi kubwa sana CHADEMA.anatoa kila aina ya maneno ya kukichafua chama na viongozi wasiomuunga mkono pasipo ushahidi wa aina yoyote ile. Ni lazima afukuzwe CHADEMA ili kama anataka basi akaanzishe chama chake ndiko atoleage matamko na Uropokaji wake.
Mbowe asikubali hata kidogo kumlea huyu mtu asiye na shukurani.amfukuze na kumtimua haraka sana ili kurejesha umoja na mshikamano ndani ya chama.ni lazima Mbowe afahamu ya kuwa Kansa ni kansa tu na ni lazima hatua za mapema zichukuliwe kuiwahi kansa . Kuendelea kuishi na kansa Mwilini bila kuchukua hatua za mapema kutapelekea kuenea na kuangamiza mwili na hatimaye roho.
Angalieni namna ambavyo sisi CCM hufanya maamuzi Magumu ndani ya chama chetu.CCM tunaweza kumuondoa mtu yeyote yule katika nafasi yoyote ile na kumuweka pembeni. CCM tunaweza kumfukuza chamani mtu yeyote yule akionekana kuwa ni kirusi au kansa kwa chama chetu.tumefanya hivyo mara nyingi na tutaendelea kufanya hivyo kila itakapobidi kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya chama Na Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ya ccm yanakushinda ,kila siku unabubujikwa na machozi , ya chadema nayo unayataka, ccm tiyari mmejaa kwenye mfumo wa Chadema , kila kete yenu inaliwa kaeni kwa kutulia tu.Ndugu zangu Watanzania,

Nenda kafungue Vitabu ujue the importance of consensus and compromise in a democratic society. Mjinga wewe usiyejitambua!Ndugu zangu Watanzania,

Nenda kafungue Vitabu ujue the importance of consensus and compromise in a democratic society. Mjinga wewe usiyejitambuaNdugu zangu Watanzania,

Mimi nipo CCM na ni mwana CCM kindakindakiWe chawa umehamia Chadema saivi au njaa kali unapiga na part time
Lissu ni lazima afukuzwe tu.haiwezekani chama kiendelee kulea kirusi na kansa ndani ya chama.Lissu ni wakuogopwa kama ukoma.Nenda kafungue Vitabu ujue the importance of consensus and compromise in a democratic society. Mjinga wewe usiyejitambua!
MUNGU AKUTIE NGUVU SANA HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MPITOHawezi Akapita wala kupigiwa kura za ndio na wenye akili Timamu na wanaojitambua
Mpito upi.MUNGU AKUTIE NGUVU SANA HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MPITO
Sasa mambo ya CDM ya nini ama kwakua mshamshika matter core mbowe wenu mliyemrambisha asali ili muendelee kumtcotrol?Mimi nipo CCM na ni mwana CCM kindakindaki
( imetamaraki ) ndio kiswahili gani we mzee mla bata ?Huu muda wa kuandika ya chadema unapata wapi Luca, si nimesikia upo Dodoma na dodoma yote ya kijani imetamaraki.
Kumfukuza Tundu Antipas Lisu chamani haki tatokea maana tunahitajiana, by Mbowe.....( Nimenukuu maneno ya Mbowe)Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu chamani ili asiendelee kukivuruga chama na kukigawa.
Lissu anapaswa kufukuzwa haraka sana kwa sababu tayari ni kansa kwa CHADEMA ambayo ikiachwa ikae na kusalia itakitafuna na kukiangamiza kabisa chama. Lissu kwa sasa ni kama adui wa chama anayepaswa kupingwa na kuogopwa kama ukoma.
Kwa sasa hana uchungu na CHADEMA na amedhamiria kukiangamiza CHADEMA kwa hasira kubwa sana.hii unaweza kuona matamko na maneno yake anajiropokea kila uchao namna yanavyoendelea kuleta taharuki,mgawanyiko na kuondoa kabisa umoja wa chama.kila siku anafanya kazi ya kukidhalilisha chama na kukivunjia sifa kubwa kiliyojijengea kwa jasho na Damu kwa miaka mingi.
Ikumbukwe ya kuwa lissu ni wakuja CHADEMA.pegine ndio maana hajui gharama iliyotumika kuijenga na kuifikisha hapo ilipo CHADEMA.hii ndio sababu pengine hana uchungu na CHADEMA na ndio maana anaropoka muda wote Utafikiri ana matatizo kichwani mwake.Lissu ameikuta CHADEMA ikiwa imara na yenye mtandao mpana wa uongozi na wanachama maeneo mbalimbali Nchini.
Sasa anaivunja vunja na kuibomoa kwa kasi kubwa sana CHADEMA.anatoa kila aina ya maneno ya kukichafua chama na viongozi wasiomuunga mkono pasipo ushahidi wa aina yoyote ile. Ni lazima afukuzwe CHADEMA ili kama anataka basi akaanzishe chama chake ndiko atoleage matamko na Uropokaji wake.
Mbowe asikubali hata kidogo kumlea huyu mtu asiye na shukurani.amfukuze na kumtimua haraka sana ili kurejesha umoja na mshikamano ndani ya chama.ni lazima Mbowe afahamu ya kuwa Kansa ni kansa tu na ni lazima hatua za mapema zichukuliwe kuiwahi kansa . Kuendelea kuishi na kansa Mwilini bila kuchukua hatua za mapema kutapelekea kuenea na kuangamiza mwili na hatimaye roho.
Angalieni namna ambavyo sisi CCM hufanya maamuzi Magumu ndani ya chama chetu.CCM tunaweza kumuondoa mtu yeyote yule katika nafasi yoyote ile na kumuweka pembeni. CCM tunaweza kumfukuza chamani mtu yeyote yule akionekana kuwa ni kirusi au kansa kwa chama chetu.tumefanya hivyo mara nyingi na tutaendelea kufanya hivyo kila itakapobidi kufanya hivyo kwa maslahi mapana ya chama Na Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe focus na uteuzi kule kwemu kwenye form moja tu ya mwenyekiti kama moyoNdugu zangu Watanzania,

Kaa kwa kutulia.Wewe focus na uteuzi kule kwemu kwenye form moja tu ya mwenyekiti kama moyo
Haahaa chama Cha kufukuzana, na lissu akishinda afanyeje?Ndugu zangu Watanzania,

Haahaa jina linatoka kwenye pochi ya mama Samia, duh ila ccm😂Wewe focus na uteuzi kule kwemu kwenye form moja tu ya mwenyekiti kama moyo
Imetamalaki✅( imetamaraki ) ndio kiswahili gani we mzee mla bata ?
Lissu hawezi kushinda hata iwejeHaahaa chama Cha kufukuzana, na lissu akishinda afanyeje?