Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

Mtu anatangaza siasa za mshikemshike huku akijua kuwa familia yake haiko Tanzania, watanzania sio wajinga hivyo, wataruka nae.
Mbona majibu unayotoa na maswali havilandani! Ninyi watu ni wa namna Gani?
 
we kweli zombie. Kafanye kazi halali acha kazi ya uchokoraa
Lissu hana maarifa mapana, analenga kufanya fujo na hoja zisizotekelezeka. Mfano, hata ulaya na Marekani hakuna 50/50 mahali popote kwenye taasisi yoyote Ile hata za serikali. No reform no election ni kuwadanganya watu. Wananchi wetu wanataka kusikia kima cha chini kitakuwa sh ngapi kama cdm ikishinda, pembejeo za kilimo zitatolewa bure au la, Bei ya mafuta itashuka au la, Kodi itapungua au la, kikokotoo cha wastaafu kitakuwaje chini ya cdma, bodaboda wataishije, nk. Lakini hoja za Lisu ni katiba, bandari, wamasai, Muungano na mambo mengine yasiyowahisu watanzania. Ndiyo maana watu hawamuungi mkono hata kama akipigwa hadi kuvunjwa mkono. Anasimamia hoja zake ambazo hazitokani na wananchi.
 
Mbowe anafanya maigizo tupu
Lissu ni sikio la kufa, cdm ni mali binafsi ya familia binafsi na Kanda binafsi, Asikitolee jicho sana.

Uwendesahaji wa chama hiki unategemea sana michango ya wafanyabiasha, nijuavyo mimi wanyiramba na wanyaturu ni wafugaji na wabangaizaji TU, ni mfanyabishara yupi atampatia Lissu fedha ya kuendesha chama? Chama hakiwezi kutegemea pesa kutoka Ubelgiji buana, tutauza nchi.
 
Huna akili acha ukabila
 
Back
Top Bottom