Mbowe aligombeaje urais mwaka 2005 kama hana degree?

..Mama Abduli alipata Zero form 4.

..Baba Dudley "mboe" alipata Zero form 6.

..Yupi ni kilaza kumzidi mwenzake?
CV iendelee.
Mmoja ajira yake ya kwanza ni kuwa muandika taarifa za boss kama yupi au hayupo na itakuwa alikuwa na tabia hizihizi za leo za kuzira na kufukuza watu kisa wamepongeza mtumbuliwa na kuwa chura kiziwi atakuwa alijifunzia uko. Baadae akaenda kugawa michele ya wazungu uko kwao, ndio akajifunza kugawa rasilimali burebure tu.

Mwingine ajira yake ya kwanza ofisa wa Benki kuu ya Tanzania. Baadae akawa mfanyabiashara.
 
Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??

Wanasiasa wanaogombea nafasi kuanzia udiwani, ubunge hadi Urais wanapaswa kuweka wazi CVs zao wapiga kura wawafahamu vizuri kwa manufaa ya umma. George Bush Jr. wa Marekani yeye alikuwa haoni haya kusema hadi matokeo yake ya darasani kwamba hakuwa kipanga na hadi aliwahi kutania kwamba wanafunzi wa daraja C kama yeye wanaweza kuwa marais pia.
Hivi vigezo vya elimu vimepitwa na wakati.

Mtihani mkubwa kabisa wa mgombea urais ni kuwashawishi wananchi wampigie kura, huo umezidi hata Ph.D, sasa utamuwekeaje mgombea urais kigezo cha degree?

That is actually very undemocratic.
 
Hiy
Kipindi hicho ambacho Katiba ilikuwa inaelekeza kwamba ikitokea rais aliyepo madarakani akafariki basi makamu wa rais atachukua nafasi yake na baada ya miezi mitatu atatakiwa kuitisha ucuaguzi mkuu lakini ikitokea rais aliyepo madarakani akafariki mwaka mmoja (or miezi 18, naomba nirekebishwe) kabla ya uchaguzi mkuu basi makamu wa rais atachukua nafasi yake na kumalizia muda huo ulio baki hadi uchaguzi mkuu.
Kumbuka hakuna ajuaye ni wakati gani Katiba ilibadilishwa na kuagiza kuwa ikitokea rais aliyepo madarakani akafariki basi bila kujali alifariki wakati gani, makamo wake atairithi nafasi hiyo moja kwa moja hadi uchaguzi mkuu ujao
Hiyo ni katiba ya mwaka gani?
 
Hivi vigezo vya elimu vimepitwa na wakati.

Mtihani mkubwa kabisa wa mgombea urais ni kuwashawishi wananchi wampigie kura, huo umezidi hata Ph.D, sasa utamuwekeaje mgombea urais kigezo cha degree?

That is actually very undemocratic.
Eilimu ni muhimu sana mkuu kwa nafasi kama hiyo, hata hivyo inaonekana hakuna kigezo ndani ya katiba ya sasa,
 
CV iendelee.
Mmoja ajira yake ya kwanza ni kuwa muandika taarifa za boss kama yupi au hayupo na itakuwa alikuwa na tabia hizihizi za leo za kuzira na kufukuza watu kisa wamepongeza mtumbuliwa na kuwa chura kiziwi atakuwa alijifunzia uko. Baadae akaenda kugawa michele ya wazungu uko kwao, ndio akajifunza kugawa rasilimali burebure tu.

Mwingine ajira yake ya kwanza ofisa wa Benki kuu ya Tanzania. Baadae akawa mfanyabiashara.
Pale BoT Mbowe alikuwa Security Guard na alikuwa anavaa Sare za Mgambo kabisa
 
Hicho kigezo cha degree kilikuja kuongezwa baadaye. Kumbuka, kabla ya Mbowe Mrema pia alikuwa akigombea kwenye kila uchaguzi.
Mwaka ambao kigezo cha degree kilipoongezwa mwaka huo tulishuhudia kwa mara ya kwanza Mrema akikosa kugombea, Mbatia pia mwaka huo japo alipanga kugombea lakini akashindwa (maana alikuwa hajamaliza chuo, baadaye akaenda kusoma Holland)
Ali Hassan Mwinyi alikuwa na degree ya kitu gani alipogombea na kivuli 1985 na 1990?
 
Eilimu ni muhimu sana mkuu kwa nafasi kama hiyo, hata hivyo inaonekana hakuna kigezo ndani ya katiba ya sasa,
Elimu ni muhimu lakini kuweka kigezo cha elimu cha degree sio tu si muhimu, lakini pia ni kigezo cha kibaguzi. Hususan kwenye nchi ambayo watu wengi sana wana uwezo mzuri tu lakini hawana elimu rasmi ya degree.

Inatupasa tuelewe unaweza kuwa na elimu bila degree na unaweza kuwa na degree bila elimu.

Rais wa sasa wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva hana degree, lakini watu wamemkubali sana hawakujali hilo.

Zaidi, kitu muhimu kuliko kukosa degree, ni sababu ya kukosa degree.

Mtu kama Lula hana degree, lakini hakuwa na uwezo wa kusoma,alianza kufanya kazi akiwa mdogo, akafanya kazi sana na kupanda ngazi katika Labor Unions za Brazil, akafika juu kabisa.

Hiyo kazi aliyoifanya huko katika vyama vya wafanyakazi, ni jubwa kuliko degree.

Sasa mtu kama huyo naye utasema huyu hafai kuwa rais kwa sababu hana degree?

Elimu yake practical aliyoipata kwenye siasa za vyama vya wafanyakazi imepita kikwazo chochote cha degree yoyote mtakachoweka.

Sasa hatuoni tukiendeleza kigezo cha degree tutawanyima kina Lula wetu nafasi ya kutuongoza?
 
CV iendelee.
Mmoja ajira yake ya kwanza ni kuwa muandika taarifa za boss kama yupi au hayupo na itakuwa alikuwa na tabia hizihizi za leo za kuzira na kufukuza watu kisa wamepongeza mtumbuliwa na kuwa chura kiziwi atakuwa alijifunzia uko. Baadae akaenda kugawa michele ya wazungu uko kwao, ndio akajifunza kugawa rasilimali burebure tu.

Mwingine ajira yake ya kwanza ofisa wa Benki kuu ya Tanzania. Baadae akawa mfanyabiashara.

..Samia angechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani mwaka 2000, leo miaka 24 baadae, chama hicho kungekuwa hai, au na nguvu kiasi gani?
 
Elimu ni muhimu lakini kuweka kigezo cha elimu cha degree sio tu si muhimu, lakini pia ni kigezo cha kibaguzi. Hususan kwenye nchi ambayo watu wengi sana wana uwezo mzuri tu lakini hawana elimu rasmi ya degree.

Inatupasa tuelewe unaweza kuwa na elimu bila degree na unaweza kuwa na degree bila elimu.

Rais wa sasa wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva hana degree, lakini watu wamemkubali sana hawakujali hilo.

Zaidi, kitu muhimu kuliko kukosa degree, ni sababu ya kukosa degree.

Mtu kama Lula hana degree, lakini hakuwa na uwezo wa kusoma,alianza kufanya kazi akiwa mdogo, akafanya kazi sana na kupanda ngazi katika Labor Unions za Brazil, akafika juu kabisa.

Hiyo kazi aliyoifanya huko katika vyama vya wafanyakazi, ni jubwa kuliko degree.

Sasa mtu kama huyo naye utasema huyu hafai kuwa rais kwa sababu hana degree?

Elimu yake practical aliyoipata kwenye siasa za vyama vya wafanyakazi imepita kikwazo chochote cha degree yoyote mtakachoweka.

Sasa hatuoni tukiendeleza kigezo cha degree tutawanyima kina Lula wetu nafasi ya kutuongoza?
Hapo kuna umuhimu wa kujua kipi kina faida kuliko kingine, unaweza kuangalia hoja ya kuweka ukoma wa mihula ya Urais pia kama mfano. Wengine watakuambia kutokuwepo kwa ukomo wa Urais ni faida kwa taifa kutomuondoa Rais mzuri, lakini hawafikirii vipi ikiwa rais ni mbovu na hakuna ukomo wa rais, huo ukomo ndio sehemu ya gharama yenyewe ya kuendeleza demokrasia. Tukirudi kwenye elimu vipi ikiwa kiongozi anaweza kushawishi watu kumchagua lakini hana uwezo mzuri wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi yenye mashiko kutokana na ukosefu wake wa wa uelewa unaosababishwa na kukosa elimu nzuri na sahihi??
 
Vipanga wa JF Wapo wapi ?tunawasubiri hapa.
maana huu uzi wamejaa vilaza wanabahatisha mambo tu😂

Mara kigezo ni degree,mara sio ..Which is which🤷
 
Back
Top Bottom