kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
MUDA nikitu hatari sana ,mungu amrudishe ikiwezekana awe kijana aje aendeleze mamboyakeHahahahahah . . ...Mrema hakuwa mtu wa kawaida. Ile courage ya kusema Ile degree wanayosemaga si hii hapa, watu wote flat🤣🤣🤣
Ibara ya ngapi ya katiba au sheria gani omesema mgombea awe na degree? Lete ushahidi wa kisheria sio wa kihisia.Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??
Wanasiasa wanaogombea nafasi kuanzia udiwani, ubunge hadi Urais wanapaswa kuweka wazi CVs zao wapiga kura wawafahamu vizuri kwa manufaa ya umma. George Bush Jr. wa Marekani yeye alikuwa haoni haya kusema hadi matokeo yake ya darasani kwamba hakuwa kipanga na hadi aliwahi kutania kwamba wanafunzi wa daraja C kama yeye wanaweza kuwa marais pia.
Ibara ya ngapi? Sifa za mtu kuchaguliwq kuwa rais zimeainishwa kwenye ibara ya 39 na hakuna kigezo cha elimuKuna kipindi niliwahi kusoma katiba ya nchi niliona kigezo cha elimu kwa mtu anaegombea urais lazima awe na degree.
Bottom line ni kwamba elimu si degree.Hapo kuna umuhimu wa kujua kipi kina faida kuliko kingine, unaweza kuangalia hoja ya kuweka ukoma wa mihula ya Urais pia kama mfano. Wengine watakuambia kutokuwepo kwa ukomo wa Urais ni faida kwa taifa kutomuondoa Rais mzuri, lakini hawafikirii vipi ikiwa rais ni mbovu na hakuna ukomo wa rais, huo ukomo ndio sehemu ya gharama yenyewe ya kuendeleza demokrasia. Tukirudi kwenye elimu vipi ikiwa kiongozi anaweza kushawishi watu kumchagua lakini hana uwezo mzuri wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi yenye mashiko kutokana na ukosefu wake wa wa uelewa unaosababishwa na kukosa elimu nzuri na sahihi??
Hakusema alipata zero, alisema hakufanya vizuri. Kutokufanya vizuri si lazima iwe zero, inaweza kuwa hata Div 3 kama lengo lake lilikuwa kupata 1st Div.
Kigezo kimojawapo cha kugombea urais Tanzania ni mgombea kuwa na angalau kiwango cha elimu cha degree moja, pia huwa kuna rumours mtaana kwamba Freeman Mbowe aliishia kidato cha sita tu, sasa kama ni kweli Mbowe aliwezaje kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea Urais mwaka 2005??
Wanasiasa wanaogombea nafasi kuanzia udiwani, ubunge hadi Urais wanapaswa kuweka wazi CVs zao wapiga kura wawafahamu vizuri kwa manufaa ya umma. George Bush Jr. wa Marekani yeye alikuwa haoni haya kusema hadi matokeo yake ya darasani kwamba hakuwa kipanga na hadi aliwahi kutania kwamba wanafunzi wa daraja C kama yeye wanaweza kuwa marais pia.
Ninachojua kikatiba ili uwe mbunge ujue tu kusoma na kuandika, ya raisi sijui. Ila hicho ni kifungu cha "aibu" kibadilishwe. Ndicho kilichomuweka msukuma bungeni.
Elimu ni muhimu lakini kuweka kigezo cha elimu cha degree sio tu si muhimu, lakini pia ni kigezo cha kibaguzi. Hususan kwenye nchi ambayo watu wengi sana wana uwezo mzuri tu lakini hawana elimu rasmi ya degree.
Inatupasa tuelewe unaweza kuwa na elimu bila degree na unaweza kuwa na degree bila elimu.
Rais wa sasa wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva hana degree, lakini watu wamemkubali sana hawakujali hilo.
Zaidi, kitu muhimu kuliko kukosa degree, ni sababu ya kukosa degree.
Mtu kama Lula hana degree, lakini hakuwa na uwezo wa kusoma,alianza kufanya kazi akiwa mdogo, akafanya kazi sana na kupanda ngazi katika Labor Unions za Brazil, akafika juu kabisa.
Hiyo kazi aliyoifanya huko katika vyama vya wafanyakazi, ni jubwa kuliko degree.
Sasa mtu kama huyo naye utasema huyu hafai kuwa rais kwa sababu hana degree?
Elimu yake practical aliyoipata kwenye siasa za vyama vya wafanyakazi imepita kikwazo chochote cha degree yoyote mtakachoweka.
Sasa hatuoni tukiendeleza kigezo cha degree tutawanyima kina Lula wetu nafasi ya kutuongoza?
Ni ulimbukeni tu.ni fikra mbovu sana ambazo hata hao waliotuletea hiyo elimu hawaizingatii.
Ni ulimbukeni tu.
Ukiweka hivi viwango vya elimu wenyewe waliotuletea hiyo elimu na demokrasia wanatuona malimbukeni tu.
Hata wao waliotuletea demokrasia hawako perfect, kuna ulimbukeni fulani wanao ambao sio afya katika kuongoza nchi(iwe demokrasia au vinginevyo). Kigezo cha elimu ni muhimu katika nchi inayoendelea hata kama sio degree. Mazingira yaliyowaharushu wao kuendelea bila elimu rasmi hayapo tena au ni finyu zaidi karne hii ya sasa.Ni ulimbukeni tu.
Ukiweka hivi viwango vya elimu wenyewe waliotuletea hiyo elimu na demokrasia wanatuona malimbukeni tu.
Yani tabu sana.huu ulimbukeni unazitesa sana nchi za Africa, na nashindwa kuelewa wanaolazimisha hizi ajenda wanasumbuliwa na nini ikiwa wao wanaamini kuwa na Degree ndio uwezo mzuri wa kisiasa na uongozi kwanini huwa wanakuwa unsecured kwa watu walioshindwa kuwa na degree?
Address tatizo la elimu rasmi kwa jamii nzima hilo suala la kudai degree kwa wagombea urais litatoweka automatically.Hata wao waliotuletea demokrasia hawako perfect, kuna ulimbukeni fulani wanao ambao sio afya katika kuongoza nchi(iwe demokrasia au vinginevyo). Kigezo cha elimu ni muhimu katika nchi inayoendelea hata kama sio degree. Mazingira yaliyowaharushu wao kuendelea bila elimu rasmi hayapo tena au ni finyu zaidi karne hii ya sasa.
Kwanza sijasema kiwekwe kigezo cha degree au kwamba degree ni muhimu zaidi, nimesmea "elimu rasmi", Inaweza kuwa kidato cha nne, cha sita, diploma, certificate n.k, Inaweza pia kuwa ni equivalency.Address tatizo la elimu rasmi kwa jamii nzima hilo suala la kudai degree kwa wagombea urais litatoweka automatically.
Ukiweka kigezo cha degree kwenye ugombea urais katika nchi ambayo asilimia kubwa ya watu wake hawana degree, kigezo hicho kinakuwa undemocratic na hata unconstitutional.
Acha watu wamkubali au kumkataa mtu kwa uwezo wake.
Usiweke mwanya wa watu kumtaka mtu awaongoze lakini wakashindwa kumchagua kwa sababu artificial ya degree.
Huelewi wapi?
Mimi naamini watu kama Msukuma, Babu Tale, Kishimba au Kibajaji ni vigumu sana kutunga sheria nzuri hata kama tungekuwa na bunge huru, lakini ni vigumu zaidi kwao kuongoza kama Marais katika karne hii hata kama tungekuwa na katiba bora kiasi gani na sababu kubwa hasa ni uwezo wao mdogo kielimu. Kwa upande mwingine naamini watu kama Mpina, Mwigulu, Kabudi, Bashe n.k wanaweza kuwa viongozi bora sana ukiwa na katiba imara.huu ulimbukeni unazitesa sana nchi za Africa, na nashindwa kuelewa wanaolazimisha hizi ajenda wanasumbuliwa na nini ikiwa wao wanaamini kuwa na Degree ndio uwezo mzuri wa kisiasa na uongozi kwanini huwa wanakuwa unsecured kwa watu walioshindwa kuwa na degree?
Mbonamsukuma hana?
Umekwepa mkono wa Sheria kijanja eee...Mama Abduli alipata Zero form 4.
..Baba Dudley "mboe" alipata Zero form 6.
..Yupi ni kilaza kumzidi mwenzake?