Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

Acheni ujinga wewe, unavunja Sheria za JF na unaweza kupata Ban
Sasa mtu Katia stor ilivyo anza wewe unampa matusi, Kwa nini usiheshimu mawazo yake tu, hata kma ni ya kijinga mkuu, kumbuka ni jukwaa huru hili, kila mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake, au lazima aungane na unacho kiamini tu?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Mpwa usikurupuke na wewe, soma nilichokiandika, yaani hicho ki phrase wanakipost kila thread which is not correct. Sio kwamba nimepinga mawazo yake
 
Hiyo mipango ovu yote Mpango anahusika kwa 100%
 
wakupige ban upate akili
 
Ila chadema mnazingua kusema ukweli hii sasa ni mipasho... Mambo waliyoongea kwa siri mnakuja kumuanika tena uku mama wa taifa na hapa ndo atazidi kukuza na mnajichoresha walahi!!!!! Mambo yakufutana machozi niya sirini kati ya mama samia na mbowe... Sasa huku mnatoa siri ni kama hamna koromeo nyie masela, inasaidia nini hii kwenye kesi ya mbowe? Papara hazitakiwi kama kweli mama aliongea ivyo na mbowe sasa yeye mbowe haraka za nini na kumbe aliahidiwa mambo mazuri tuu??? Kilichomponza ni kutokuwa na subira.... Lema ebu tulieni kwanza waachineni wana sheria wapambane huko mahakamani mnawachanganya nakuwapa wakati mgumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni hekaya tu
 
Lema anajaribu kujaza matambala ili viatu vya dr Slaa vimtoshe lkn wapi bado vinampwaya tu dah... Kwa sasa hivi hata Mbowe anajutia alichokifanya 2015. Maana hela alizopewa zishamwishia na chama pia kinamfia aisee!!!
Unauthibitisho wa hizo allegations? Dr.Tlaa anahusikaje humu?
Sisi Watanzania tunataka Katiba Mpya, mengine yote ni mbwembwe tu!Msitutoe kwenye reli.
 
Tafuteni hela mutafute mawakili wazuri wa kumtetea Mwenyekiti wenu- ATAFUNGWA OHHH nyie shindeni kwenye mitandao na majibizano yasiyo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…