Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

Ungeekua huna akili kama ungeamini kuwa Mbowe ni Gaidi maana sifa za Gaidi ziko wazi, sasa kama huzijui utakua ndio uko upande huo! Hapo Vipi Mpwa
Mimi nimejielekeza sana kuangalia kwanza kinachoendelea kwenye hii kesi ni mapema sana kuwa na upande kwa sasa maana itakuwa natumia hisia tu sina sababu ya kutumia hisia kuanza kusema Mbowe hawezi kuwa gaidi au nitumie siasa tu kuanza kusema Mbowe ni gaidi.
 
Uko sahihi kabisa, basi usiwe na shaka na akina sisi pia ambao tuna taarifa kiasi za kutusaidia kuwa na upande. Si dhambi
 
Huyo Lema alishuhudia hayo maongezi au na yeye kasimuliwa na ligaidi?
Unataka atoe clip ya maongezi ya Rais kama yule Mbwa wenu Sabaya alivyokuwa ana mrekodi baba yake Jiwe na kuziyoa hizo clip kutishia watu?
 
Uko sahihi kabisa, basi usiwe na shaka na akina sisi pia ambao tuna taarifa kiasi za kutusaidia kuwa na upande. Si dhambi
Sina shida na hilo mie kama mna taarifa ni sawa tu, kwa upande wangu nitaendelea kutokuwa na upande maana huwa siamini haya mambo ya kuwa na taarifa, maana nakumbuka kipindi fulani cha Magufuli kuna watu walikuwa wanasema wana taarifa kuwa Magufuli keshachanjwa chanjo ya corona ila alivyokufa wengine wakasema wana taarifa kuwa Magufuli kafa kwa corona. Sasa ili kuepusha hiyo mikanganyiko ndio maana huwa nawaachia watu wenyewe na taarifa zao.
 

Maskini Chadema

Lini mtajua utawala uliopita SSH alikua makamu wa rais tena kwa awamu ya kwanza na ya pili? Hivi kweli mlitegemea rais wetu Samia Suluhu Hassan atumike na chadema kuhujumu chama chake na serikali yake? Masihara haya🤣🤣🤣🤣

Kama hamumjui Rais poleni sana
Acha kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…