Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki.

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk.

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli.
 
Hivi ina maana hujasikia sababu ni kwanini hata watu waliochanja wanaendelea kuvaa barakoa au unajitoa ufahamu? Kama hujasikia na hujui sababu mpaka sasa wakati maelezo yameshatolewa mara nyingi na hata kama uta-google dakika moja utakuwa umeshapata sababu.
 
Hivi ina maana hujasikia sababu ni kwanini hata watu waliochanja wanaendelea kuvaa barakoa au unajitoa ufahamu? Kama hujasikia na hujui sababu mpaka sasa wakati maelezo yameshatolewa mara nyingi na hata kama uta-google dakika moja utakuwa umeshapata sababu
Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupu
 
Wameshajikinga kwa kuchomwa sindano ya kinga ya Corona sasa barakoa za nini tena? social distance za nini tena?
Sikutegea kama wewe ni layman namna hii. Hivi hili la kuuliza wakati maelezo yameshatolewa na wataalam mara nyingi tu? Kama hujui kiingereza utapata pia yapo maelezo ya kiswahili.
 
... hebu Mataga muwe na akili; anayevaa barakoa anajali wengine kuliko anavyojijali mwenyewe kwani inasaidia kuzuia majimaji ya mwilini kuwafikia wengine. Ukichanjwa haimaanishi virus vya COVID haviwezi kukufikia; inamaansha madhara yake yanapungua. Ukiwa navyo hata kama umechanjwa vikiwafikia wengine unawaathiri.

So, Mbowe na wengine waliochanjwa kuvaa barakoa ni kwa faida ya wengine kuliko faida kwao binafsi. Na huo ndio UBINADAMU; kumthamini jirani yako kama nafsi yako! Hata maandiko si yanasema hivyo?
 
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Acha ajikinge...usiji expose ukapigwa kinga yako ikadunda bye bye....mwendazake
 
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Kuvaa barakoa ni maamuzi binafsi mkuu

Usilazimishe unayoyataka
 
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Mbowe ni tapeli wa kisiasa.
 
Mbowe kapigwa chanjo kama fashion tu ila hata yeye haiamini kivileeee.
Nasikia ndani ya miaka miwili waliopigwa chanjo wote wanadanji sijui kama ni kweli
 
Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupu

Kikwazo kikubwa cha taifa hili ni ujinga wa kupindukia na wewe ni mmoja wao. Chanjo haizuii usiambukizwe, chanjo inaongeza kinga ya mwili ili usifikie kuumwa na hatimaye mauti!! Unaweza bado ku-test positive na ukiwa umechanjwa!!

Unaweza kumwambukiza vijidudu hivyo kidogo mtu ambaye hajachanjwa na asipate kuumwa lakini mwingine uliyemuambukiza akaumwa na labda hata mauti kumfika. Chanjo hii sio tiba ya corona. Inausaidia mwili kuishinda corona!!!

Hata kama tuna wasiwasi na chanjo, hatupaswi kuwa waongo kwa watu wengine. Kila aliyechanjwa anashauriwa kuendelea kujikinga kwa sababu pia kuna variants ambao hawapunguzwi makali na baadhi ya variants. Acha upotoshaji!!
 
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Wewe Yehodaya ni mtu mjinga sana usilete upuuzi wako kwenye Masuala nyeti tena ya afya.
 
Back
Top Bottom