Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

Leo hii ndio mmejua kuwa Corona ipo,mbona juzijuzi tu mlikuwa kukanusha uwepo wa corona na mkawa mnasema Maombi ya Magufuli yameiondoa
Hhaha leo ndio anazungumzia protocali ya Corona, hahahaha shenzi kweli hawa jamaa
 
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki

Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk

Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Barakoa muhimu
 
Ukichanja haimaanishi kuwa hauwezi Kuambukiza.
Unaweza kuwa na virus vikawa inactive kwako, lakini uka Spread kwa wengine, wenye Afya Mbovu kama Jiwe halafu wakafa.
Unaumia Mbowe kuonesha Kujali.
MATAGA tokea mungu wenu wa Chuttle atwaliwe mmekuwa mnaweweseka sana
 
Watu wanashangaza, kutoa maoni kwa jambo ambalo hawalijui, chanjo haizuii kupata maambukizi, ila inapunguza athari za maambukizi, inamaana namna atakavyo ugua aliechajwa na asiepata chanjo ni tofauti, hapo barakoa ni muhimu!
On Point. Watu wanadhani ukipata chanjo hautapata corona. No. Inapunguza makali na ndo maana kwa wenzetu ukiwa prime age wameona waipate ili wasije kufikia hatua ya kuhitaji ventilator....Na kingine hiyo chanjo siyo indefinite.
 
Wameshajikinga kwa kuchomwa sindano ya kinga ya Corona sasa barakoa za nini tena? social distance za nini tena?
Kwani Samia aliyevaa barakoa halafu anashikana mikono na watu yeye vipi?
 
Back
Top Bottom