MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Yaani wabongo kwa ujuaji katika suala hili la corona. Aliechanja full in maana ameshapiga shot mbili. Nadhani ya kwanza na ya pili zinapishana muda usiozidi mwezi (not so sure exactly). Lakini waliochanja shot ya kwanza pekee wakisubiri ya pili, bado wanaendelea kujikinga maana hawajamaliza dozi.Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Ukigoogle tuu utagundua kwa mfano marekani imeanza kuondosha suala la mask/distance kwa watu waliochanjwa. e.g 'No masks for the vaccinated': What the latest US mask guidance means.
Sasa sijuwi mkuu huu uzi unajadili nini ? Au unaogopa shindano ?