hashim mollel
Member
- Oct 19, 2019
- 7
- 0
Maybe ni siasa hizoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mmelazimishwa kuchanja!!? Mnapiga makelele kwenye keyboard mwisho wa siku serikali imeshatoa msimamo chanjo zinaletwa! Kelele za Chura ...........Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupu
Mkuu atakuwa na Corona maana haileti maana kwamba barakoa zivaliwe anapokuwepo rais tu na tofauti na hapo barakoa watu hawavai, kama ana corona rais wetu watuambie tu tujue wasifiche maradhi kama Mwendazake mwishowe kifo kikaumbua.Mhu! Aina hii ya logic x and y, therefore, z ni hatari sana.
Maalim seif ndio alipigwa na covid ila mwendazake alichanjwa kisirisiri na wachina hivyo utasemaje tena alikufa na covid?Mbowe anaakili ya 10000 kwa mwendazake aliekufa kwa kupigwa na covid kelbu moja tu akameza ulimi
Tahadhari zipi hizo kuvaa barakoa? maana katika kuchukua tahadhari ni pamoja na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima,sasa watu wajazane kwenye usafiri kwenye mechi za mpira huko na mikutano isiyo ya lazima halafu useme kuna kuchukua tahadhari hapo? Hivi kwa mfano ile nyomi ya kariakoo pamoja na pilika zake unachukua tahadhari kwa namna gani pale?Sawa, lakini maisha lazima yaendelee - watu wanaendelea kukusanyika kwenye nyumba za ibada, mikutano ya hadhara, mafunzo, biashara au sehemu za kazi nk - lakini wanasisitizwa kuchukua tahadhari.
Uzuri wa ushahidi ungeweza kunifanya nijue upi ni ukweli kati ya wanaosema alichanjwa na wanaosema amekufa na corona. Kwahiyo bila ushahidi itabidi nikubali kwamba Magufuli alipata dozi ya corona kama wengine ila bado alikufa na corona hiyo hiyo.Wewe kutokuwa na ushahidi haimaanishi kuwa siyo kweli. Ndipo unapokosea. Hakuchanjwa lakini alikufa kwa corona. Corona ilisababisha complication ya ya tatizo la moyo alilokuwa nalo lizidi na hatimae kufariki.
Tafsiri ya 'isiyo ya lazima' nani anaye'establish' kama si mhusika mwenyewe? Mimi naweza kwenda kwenye mkutano ambao mimi naona ni wa lazima kulingana na masilahi niliyonayo mkutano huo na wewe unaweza usione ni wa lazima kulingana na masilahi uliyonayo na mkutano huo. Mfano, mimi ni Mkatoliki na huwa nahudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kanisani Jumapili. Serikali ilipotangaza kwa mara ya kwanza kuchukua tahadhari mwaka jana, mimi na familia yangu tuliamua kusitisha kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kwa muda hadi hapo tutakapojiridhisha hakuna hatari ya kuambukizwa. Waumini wengine waliendelea kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kama kawaida. Leo hii wote tuko hai na hakuna aliyeathiriwa. Hivyo, unaona tafsiri ya 'isiyo ya lazima' inavyoweza kuchukuliwa tofauti na kila upande bado ukawa na sababu muhimu?Tahadhari zipi hizo kuvaa barakoa? maana katika kuchukua tahadhari ni pamoja na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima,sasa watu wajazane kwenye usafiri kwenye mechi za mpira huko na mikutano isiyo ya lazima halafu useme kuna kuchukua tahadhari hapo? Hivi kwa mfano ile nyomi ya kariakoo pamoja na pilika zake unachukua tahadhari kwa namna gani pale?
Kwamba ni lazima kufanya huo mkutano kwa kukusanyana hakuna njia nyengine? ni lazima mashabiki wakusanyane kwenda kuangalia mechi ya simba na yanga hakuna njia nyengine watu wakaweza kuangalia mechi bila kwenda uwanjani kukusanyana? ni lazima kwenda kukusanyana kwenye nyumba ya ibada hakuna njia nyengine ya kufanya ibada tofauti na kwenda kukusanyana kwenye nyumba za ibada?Tafsiri ya 'isiyo ya lazima' nani anaye'establish' kama si mhusika mwenyewe? Mimi naweza kwenda kwenye mkutano ambao mimi naona ni wa lazima kulingana na masilahi niliyonayo mkutano huo na wewe unaweza usione ni wa lazima kulingana na masilahi uliyonayo na mkutano huo. Mfano, mimi ni Mkatoliki na huwa nahudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kanisani Jumapili. Serikali ilipotangaza kwa mara ya kwanza kuchukua tahadhari mwaka jana, mimi na familia yangu tuliamua kusitisha kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kwa muda hadi hapo tutakapojiridhisha hakuna hatari ya kuambukizwa. Waumini wengine waliendelea kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa kama kawaida. Leo hii wote tuko hai na hakuna aliyeathiriwa. Hivyo, unaona tafsiri ya 'isiyo ya lazima' inavyoweza kuchukuliwa tofauti na kila upande bado ukawa na sababu muhimu?
MBOWE kama dini kwako na Ndugai, hamlali bila kumtaja, yani ...Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Hujui maana ya chanjo.Watu wanashangaza, kutoa maoni kwa jambo ambalo hawalijui, chanjo haizuii kupata maambukizi, ila inapunguza athari za maambukizi, inamaana namna atakavyo ugua aliechajwa na asiepata chanjo ni tofauti, hapo barakoa ni muhimu!
Ukishakuwa na tafsiri tofauti kuhusu 'mikusanyiko isiyo ya lazima' hizo njia zingine unazozisema hazionekani kwa wakati huo. Ujue kila kitu kinaweza kufanyika vizuri zaidi kama kuna 'mahitaji' na haya 'mahitaji' ndiyo yanayomfanya mtu aamue kufanya kitu fulani au la. Mfano, nikirudi kwenye mfano wangu wa kuhudhuria jumuiya ndogo ndogo na misa Jumapili, mimi niliwaona waumini wenzangu kuwa imani yao ni ndogo na wao pia waliona mimi imani yangu ndogo. Matokeo yake kila mmoja alishikilia mahali alipo. Na ndivyo ilivyo hata sasa kwa yale unayoyaona. Kuna watu wanaamini hakuna corona na hawachukui hatua zozote na kuna wengine wanaamini kuna corona na hata baadhi ya ndugu na jamaa zao wameathirika na hawa wa kundi la pili tahadhari yao ni tofauti na ya wale wa kundi hilo lingine wasiochukua tahadhari.Kwamba ni lazima kufanya huo mkutano kwa kukusanyana hakuna njia nyengine? ni lazima mashabiki wakusanyane kwenda kuangalia mechi ya simba na yanga hakuna njia nyengine watu wakaweza kuangalia mechi bila kwenda uwanjani kukusanyana? ni lazima kwenda kukusanyana kwenye nyumba ya ibada hakuna njia nyengine ya kufanya ibada tofauti na kwenda kukusanyana kwenye nyumba za ibada?
Bichwa lako halina kitu....hii hoja yako kuijibu inahitaji common senseMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Hajakamilisha idadi ya sindano zinazotakiwa kutoa kinga kamili.Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Mbowe sio size yako wewe mbuziMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Kwa USA aliyechanjwa chanjo ya 2 halazimiki kuvaa barakoaMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Haelewi huyo mpuuzi
Kabisa atasubiri snMbowe sio size yako wewe mbuzi