Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupuHivi ina maana hujasikia sababu ni kwanini hata watu waliochanja wanaendelea kuvaa barakoa au unajitoa ufahamu? Kama hujasikia na hujui sababu mpaka sasa wakati maelezo yameshatolewa mara nyingi na hata kama uta-google dakika moja utakuwa umeshapata sababu
Sikutegea kama wewe ni layman namna hii. Hivi hili la kuuliza wakati maelezo yameshatolewa na wataalam mara nyingi tu? Kama hujui kiingereza utapata pia yapo maelezo ya kiswahili.Wameshajikinga kwa kuchomwa sindano ya kinga ya Corona sasa barakoa za nini tena? social distance za nini tena?
Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupu
Na hiyo ndio huwa ya kweli....Kitu pekee ambacho unatakiwa kuamini kutoka mdomoni mwa Mbowe ni salamu tu ya Peopleeeeeeezzzzz
Kwenye Corona hata ukiugua, haikuhakikishii kinga ya moja kwa moja.Mbowe aliumwa Corona nilitarajia mwili wake umeshatengeneza kinga.
inashangaza kusikia anachanja kutafuta kinga.
Acha ajikinge...usiji expose ukapigwa kinga yako ikadunda bye bye....mwendazakeMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Kuvaa barakoa ni maamuzi binafsi mkuuMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Mbowe ni tapeli wa kisiasa.Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Hakuna cha kinga wala nini hiyo chanjo utapeli mtupu
Wewe Yehodaya ni mtu mjinga sana usilete upuuzi wako kwenye Masuala nyeti tena ya afya.Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance,kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli