Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

Yaani wabongo kwa ujuaji katika suala hili la corona. Aliechanja full in maana ameshapiga shot mbili. Nadhani ya kwanza na ya pili zinapishana muda usiozidi mwezi (not so sure exactly). Lakini waliochanja shot ya kwanza pekee wakisubiri ya pili, bado wanaendelea kujikinga maana hawajamaliza dozi.

Ukigoogle tuu utagundua kwa mfano marekani imeanza kuondosha suala la mask/distance kwa watu waliochanjwa. e.g 'No masks for the vaccinated': What the latest US mask guidance means.

Sasa sijuwi mkuu huu uzi unajadili nini ? Au unaogopa shindano ?
 
Kwahiyo ukipima ngoma majibu yakaja negative basi uendelee peku peku bila zana kisa iko negative?
 
Toa maelezo ,au na ww ukuelewa?
 
Nilitaka kukuelimisha ila naona kama nitapoteza tu muda.
 
Mbowe yeye ni kujipendekeza kwa wazungu.Mmesahau JM alipofunga shule akaacha miskiti na makanisa wakang'ang'ana afunge na kuwe na lockdown
sasa hivyi anaamini corona ipo TZ ila anawakusanya wafuasi wake na hawana barakoa.
Ni maigizo tu.
 
Huenda anavaa ili kuwalinda wazee wake, ikiwa hawajapata chanjo.
 
Ndugu zangu,

Ninasoma hapa gazeti ofisini kwangu namuona Mbowe amevaa barakoa huku akisalimiana kwa kushikana mikono na wenyeji wake. Hii ndio protokali ya kupambana na Corona?

Itoshe tu kusema hadaa hii haikubaliki.


 
Baada ya hapo anakwenda kujipiga sanitizer bibie! Unajua korona inavyombukiza lakini?

Anyway, uliwahi kumkanya mwendazake? Mwisho wa siku kwa ujinga wake ikamfyeka
 
Leo hii ndio mmejua kuwa Corona ipo,mbona juzijuzi tu mlikuwa kukanusha uwepo wa corona na mkawa mnasema Maombi ya Magufuli yameiondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…