Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hhaha leo ndio anazungumzia protocali ya Corona, hahahaha shenzi kweli hawa jamaaLeo hii ndio mmejua kuwa Corona ipo,mbona juzijuzi tu mlikuwa kukanusha uwepo wa corona na mkawa mnasema Maombi ya Magufuli yameiondoa
Kama wahuni wa CCM wakina sabaya na wengine siombowe ni mhuni tu kamawahuniwengine wa vijiweni
Barakoa muhimuMbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
Kinga gani wakati corona inawala vichwa kila uchao?
Ukichanja haimaanishi kuwa hauwezi Kuambukiza.Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama sio utapeli
On Point. Watu wanadhani ukipata chanjo hautapata corona. No. Inapunguza makali na ndo maana kwa wenzetu ukiwa prime age wameona waipate ili wasije kufikia hatua ya kuhitaji ventilator....Na kingine hiyo chanjo siyo indefinite.Watu wanashangaza, kutoa maoni kwa jambo ambalo hawalijui, chanjo haizuii kupata maambukizi, ila inapunguza athari za maambukizi, inamaana namna atakavyo ugua aliechajwa na asiepata chanjo ni tofauti, hapo barakoa ni muhimu!
Kwani Samia aliyevaa barakoa halafu anashikana mikono na watu yeye vipi?Wameshajikinga kwa kuchomwa sindano ya kinga ya Corona sasa barakoa za nini tena? social distance za nini tena?