Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

Ni kweli..
Bado ubaya wa ccm haujafikia kiasi cha watu kuandamana kwa hiyari.

Kila jambo ni hatua kwa hatua, sisi hatua hiyo bado hatujaifikia.

Polisi wasingetisha, umatu ungetoka nje ila na wao wameona wasitoe roophole ya watu kufanya yao kweli.
 
Nafikiri aliandika vile ili kuwakatisha tamaa waandamanaji wa DSM kuwa kiongozi wao amekimbia Sasa wao wabaki au waende kufanya nini?

πŸ˜‚πŸ˜‚ Wabongo kwa kudaka vitu kama vilivyo ni mafundi
Hii sentensi yako ya mwisho ,umenifunza kitu Mimi kama think tank wa Kijiji chetu lazima nijitafakari nisije walisha watu habari isiyotakiwa ,hakika Leo wazee walinipa kazi ngumu Sana ,maana Mimi nawaaminisha Mbowe Yuko Arusha ,Mara mmoja anasema hapana mbona kwenye redio wamesema amekamatwa Dar .

Fasta nazama JF nakuta kweli mwamba kadakwa ,basi hapo nikawapanga ameletwa na ndege mwingine akabisha yaani shetani aliamka na mm ili nidharirike ila nashukuru nimeilinda heshima yangu vilivyo
 

Fikiri juu ilivyo hapo chini kupanda juu ni ngumu sana. Lakini Haki ya mtoto na Haki ya mtu mzima zinatofautiana ingawaje zipo zinazowaunganisha.

Hiyo ndio raha ya urahisi kusema hayo yote. Unaweza kudhani yote hayo yapo kwaajili yako lakini amini Kila mtu utapenda anavyojitutumua
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lazima ujue kutofautisha Drama na kweli.
Diamond anakuambia ujue kutofautisha alama ya kujumlisha na msalaba alafu Kuna X na kuzidisha.

Usijichanganye ingawaje kupitiwa kupo
 
Hapa duniani Hakuna Maandamano mabaya Kama 'Maandamano ya rohoni.' Hayo ni maandamano mabaya Sana kuliko aina yoyote ile ya maandamo ambayo unayoyajua wewe.
Kwa taarifa yako, nchi ya Iran inateseka na kuangamia pole pole kutokana na maandamano ya aina hiyo.
 
Ni kweli..
Bado ubaya wa ccm haujafikia kiasi cha watu kuandamana kwa hiyari.

Kila jambo ni hatua kwa hatua, sisi hatua hiyo bado hatujaifikia.

Polisi wasingetisha, umatu ungetoka nje ila na wao wameona wasitoe roophole ya watu kufanya yao kweli.

Yeah ni Kweli

Hata Polisi wasingetokea Nina uhakika wangeandamana lakini wasingefika popote

Ila Dola imetumia Ile kanuni ya "Never underestimate your opponent"
 
Namkubali sana mbowe, ni mtu mwenye strategies na plans za kutosha, na cha ziada ni mtu mwenye commitment kwenye mambo anavyo amini, sijamfikiria kama ni kiongozi kwenye nyanja ya uraisi ila ni mtu ambae ukimuelewa na kumtumia unaweza fika mbali

πŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Wabongo ni wanafki sana hata rafiki zako inabidi uwe nao makini mno
Ahahahahah ukiwa bongo unatakiwa uwe na akili kama 3 hivi na uweze ku swap akili hizo kadri ya uhitaji.

Akili ya Kwako binafsi, ya kazini kwenu na ya nyumbani 🀣!
 
Acha kuwakosea heshima majirani. Wako kilomita nyigi mbele yetu.

Tafuta mifano ya humu humu tu, hata wewe unaweza kutoa mfano wa kizazi ulichopo kama kimefeli au kufaulu katika majukumu yake.
 
Wewe ulikuwa wapi wakati huo? Si ulikuwa umejificha uvunguni huko? Porojo tu ndio kazi mnayoweza ma CHADEMA na utapeli wenu.

Mbona wewe unataka kumtapeli Makonda, Tulia na Samia kwa kujifanya Chawa wao(kwamba unawakubali) kumbe ni kwaajili ya maslahi yako binafsi?

Na hatusemi.
Unafikiri hao Viongozi unaowafanyia uchawa hawajui kuwa uchawa ni utapeli?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kuwakosea heshima majirani. Wako kilomita nyigi mbele yetu.

Tafuta mifano ya humu humu tu, hata wewe unaweza kutoa mfano wa kizazi ulichopo kama kimefeli au kufaulu katika majukumu yake.
Km zipi hizo walizo mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…