Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

Ni kweli..
Bado ubaya wa ccm haujafikia kiasi cha watu kuandamana kwa hiyari.

Kila jambo ni hatua kwa hatua, sisi hatua hiyo bado hatujaifikia.

Polisi wasingetisha, umatu ungetoka nje ila na wao wameona wasitoe roophole ya watu kufanya yao kweli.
 
Nafikiri aliandika vile ili kuwakatisha tamaa waandamanaji wa DSM kuwa kiongozi wao amekimbia Sasa wao wabaki au waende kufanya nini?

😂😂 Wabongo kwa kudaka vitu kama vilivyo ni mafundi
Hii sentensi yako ya mwisho ,umenifunza kitu Mimi kama think tank wa Kijiji chetu lazima nijitafakari nisije walisha watu habari isiyotakiwa ,hakika Leo wazee walinipa kazi ngumu Sana ,maana Mimi nawaaminisha Mbowe Yuko Arusha ,Mara mmoja anasema hapana mbona kwenye redio wamesema amekamatwa Dar .

Fasta nazama JF nakuta kweli mwamba kadakwa ,basi hapo nikawapanga ameletwa na ndege mwingine akabisha yaani shetani aliamka na mm ili nidharirike ila nashukuru nimeilinda heshima yangu vilivyo
 
Fikiria haki inapambaniwa wakati wengine ni haki freeee

Ndio maana ni project nzuri sana😀😀😀 kichwa kimoja

Wewe fikiria ujengaji wa miji ya Ulaya

Fikiria utekelezaji wa vijiji vya ujamaa na community

Fikiria watu wanataka kutekeleza jambo zuri sana saizi

Kwa sababu natakiwa kufa kabla yako tuunganishwe vichwa na tusubiri daktari atutenganishe

Ni jambo jema mmefanya makubwa duniani - Tunajitutumua bure kwa lazima hapa

View attachment 3104412

Fikiri juu ilivyo hapo chini kupanda juu ni ngumu sana. Lakini Haki ya mtoto na Haki ya mtu mzima zinatofautiana ingawaje zipo zinazowaunganisha.

Hiyo ndio raha ya urahisi kusema hayo yote. Unaweza kudhani yote hayo yapo kwaajili yako lakini amini Kila mtu utapenda anavyojitutumua
 
Hii sentensi yako ya mwisho ,umenifunza kitu Mimi kama think tank wa Kijiji chetu lazima nijitafakari nisije walisha watu habari isiyotakiwa ,hakika Leo wazee walinipa kazi ngumu Sana ,maana Mimi nawaaminisha Mbowe Yuko Arusha ,Mara mmoja anasema hapana mbona kwenye redio wamesema amekamatwa Dar .

Fasta nazama JF nakuta kweli mwamba kadakwa ,basi hapo nikawapanga ameletwa na ndege mwingine akabisha yaani shetani aliamka na mm ili nidharirike ila nashukuru nimeilinda heshima yangu vilivyo

😂😂😂

Lazima ujue kutofautisha Drama na kweli.
Diamond anakuambia ujue kutofautisha alama ya kujumlisha na msalaba alafu Kuna X na kuzidisha.

Usijichanganye ingawaje kupitiwa kupo
 
Sasa Okonkwo yeye falsafa yake inahusu individual. Hiyo falsafa haiwezi kutumika kwenye masuala ya Dola.
Dola inahitaji mfumo wa Simba, teamwork au taasisi.

Dola ikiwa na umoja ni ngumu kuidondosha hata kwa huo mtutu qa bunduki.
Dola ili idondoke jambo kubwa kuliko yote na mpasuko kutokea ndani.
Wenye akili hilo ndio hulifanyia kazi zaidi ili waendelee kudumu kwa muda mrefu

Wananchi hata muwape wote bunduki hawawezi kufanya Chochote kwa sababu hawana teamwork, hawana falsafa inayowaunganisha, hivyo ni rahisi kuwagawanya na kuwatawala.
Hapa duniani Hakuna Maandamano mabaya Kama 'Maandamano ya rohoni.' Hayo ni maandamano mabaya Sana kuliko aina yoyote ile ya maandamo ambayo unayoyajua wewe.
Kwa taarifa yako, nchi ya Iran inateseka na kuangamia pole pole kutokana na maandamano ya aina hiyo.
 
Ni kweli..
Bado ubaya wa ccm haujafikia kiasi cha watu kuandamana kwa hiyari.

Kila jambo ni hatua kwa hatua, sisi hatua hiyo bado hatujaifikia.

Polisi wasingetisha, umatu ungetoka nje ila na wao wameona wasitoe roophole ya watu kufanya yao kweli.

Yeah ni Kweli

Hata Polisi wasingetokea Nina uhakika wangeandamana lakini wasingefika popote

Ila Dola imetumia Ile kanuni ya "Never underestimate your opponent"
 
Namkubali sana mbowe, ni mtu mwenye strategies na plans za kutosha, na cha ziada ni mtu mwenye commitment kwenye mambo anavyo amini, sijamfikiria kama ni kiongozi kwenye nyanja ya uraisi ila ni mtu ambae ukimuelewa na kumtumia unaweza fika mbali

😀😀🙏🏽🙏🏽
 
Tanzania hakuna mazwazwa wa kutumika Kwa maslahi ya kina Mbowe na Mabeberu.

Huwa nawapa mfano mzuri sana,Gen Z zaidi ya 40 wameuwawa,wamevunjwa miguu na wengine wamepotea.

Walichopata hakuna sana sana Ruto Kawateua Wapinzani kwenye barabza lake na Kodi zile zile walizolalamikiwa zimerejeshwa 🤣🤣

Kwa kama siasa inakupa ugali ukaandamane at your cost maana ndio kazi Yako sio Mimi niache kulima matikiti nije kuandamana Sina ujinga huo.
Acha kuwakosea heshima majirani. Wako kilomita nyigi mbele yetu.

Tafuta mifano ya humu humu tu, hata wewe unaweza kutoa mfano wa kizazi ulichopo kama kimefeli au kufaulu katika majukumu yake.
 
Wewe ulikuwa wapi wakati huo? Si ulikuwa umejificha uvunguni huko? Porojo tu ndio kazi mnayoweza ma CHADEMA na utapeli wenu.

Mbona wewe unataka kumtapeli Makonda, Tulia na Samia kwa kujifanya Chawa wao(kwamba unawakubali) kumbe ni kwaajili ya maslahi yako binafsi?

Na hatusemi.
Unafikiri hao Viongozi unaowafanyia uchawa hawajui kuwa uchawa ni utapeli?😂😂
 
Acha kuwakosea heshima majirani. Wako kilomita nyigi mbele yetu.

Tafuta mifano ya humu humu tu, hata wewe unaweza kutoa mfano wa kizazi ulichopo kama kimefeli au kufaulu katika majukumu yake.
Km zipi hizo walizo mbele?
 
Back
Top Bottom