Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

Screenshot_20210622-104434.jpg
 
Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo,
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kukubwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
 
Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo, Mheshimiwa Lijualikali sasa angekuwa anajiandaa kugombea Urais 2025. Shame on you!!!
Weka wewe kama imekuchoma
 
Kweli, tenda wema uende zako - Mbowe kaibua wengi saana - wengine hata kuwataja hapa ni aibu - wamemtumia yeye na CDM kama daraja.

Ila ipo siku watajuta - Dunia huzunguka jua na haijawahi kusimama - what goes around......
 
Kila mtu ana sehemu na mikono anayopitia ili kufika mahala Mungu alipompangia.
Kumuibua mtu sio kwamba awe mtumwa wako,
Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.
 
Kweli, tenda wema uende zako - Mbowe kaibua wengi saana - wengine hata kuwata hapa ni aibu - wamemtumia yeye na CDM kama daraja.

Ila ipo siku watajuta - Dunia huzunguka jua na haijawahi kusimama - what goes around......
comes around
 
Mmmmmm, dunia, kweli tenda mema, nenda zako
Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo.

Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
 
Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.
Kwa mfano huop sharti uwe na heshima kwa mwalimu wako. Usianze kusema alinitumikisha na kunipiga viboko. Kumbe hiyo ndio shule yenyewe. Wanakosea sana kusema Mbowe alitukata sehemu ya mishahara yetu kugharamia chama.
 
Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.

🤣🤣🤣🤣🤣Zum zum zum nyukilia weeeee toka mbali kutafuta ua zuri la chakula

Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂

Mwe! mwe!!!!!!
 
Ndiyo maana Mbowe hazeeki sababu ya roho nzuri like Kikwete
Ni kweli. Mimi nimesoma na Zitto Kabwe. Mbowe alikuwa anakuja pale Chuoni mlimani, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi chumbani kwa Zitto na kumsaidia vitu vingi ikiwemo fedha ya kujikimu.

Ndiye aliyempigania hadi akapata ubunge kule Kigoma. Makosa mengine anayofanya Mbowe ni kwa ajili ya kumsetiri mtu na aibu yake. Lakini mwisho anatukanwa kama mtoto mdogo.

Nakumbuka sana alivyowasaidia akina Silinde na Matiko wakiwa wapo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 
Ni kweli. Mimi nimesoma na Zitto Kabwe. Mbowe alikuwa anakuja pale Chuoni mlimani, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi chumbani kwa Zitto na kumsaidia vitu vingi ikiwemo fedha ya kujikimu. Ndiye aliyempigania hadi akapata ubunge kule Kigoma. Makosa mengine anayofanya Mbowe ni kwa ajili ya kumsetiri mtu na aibu yake. Lakini mwisho anatukanwa kama mtoto mdogo. Nakumbuka sana alivyowasaidia akina Silinde na Matiko wakiwa wapo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Hata Yesu alisalitiwa na wanafunzi wake, hakuna cha ajabu hii ni Africa mtu anaweza kumsaliti mama ake aliyemtoa tumboni
 
Back
Top Bottom