Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Ni kweli. Mimi nimesoma na Zitto Kabwe. Mbowe alikuwa anakuja pale Chuoni mlimani, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi chumbani kwa Zitto na kumsaidia vitu vingi ikiwemo fedha ya kujikimu.

Ndiye aliyempigania hadi akapata ubunge kule Kigoma. Makosa mengine anayofanya Mbowe ni kwa ajili ya kumsetiri mtu na aibu yake. Lakini mwisho anatukanwa kama mtoto mdogo.

Nakumbuka sana alivyowasaidia akina Silinde na Matiko wakiwa wapo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Tatizo wakikusaidia wanataka uwe mtumwa wao kila kitu 'ndio, ndio, ndio,' uvumilivu ulinapofikia kikomo wanaanza kumsimanga, hii ndio tabia iliopo Chadema. Hakuna anayetoka Chadema bila kusimangwa, hebu washughulikie ya wale 19 haya mengine wawache wafaidi matunda ya kuibuliwa
 
Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

View attachment 1826241
Huyu ni kijana hovyo na mshenzi sana. Anatukana babake ili tu jirani amkubali na kumpa ugali!!!? Asipoomba radhi ugali wa jirani utamvimbia tumboni.
 
Huyu ni kijana hovyo na mshenzi sana. Anatukana babake ili tu jirani amkubali na kumpa ugali!!!? Asipoomba radhi ugali wa jirani utamvimbia tumboni.
Anapotoshwa na mkwewe ambaye ni subwoofer ya bunge
 
Back
Top Bottom