Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani.

Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee.

Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema.

Kweli dunia ni msongamano.

View attachment 1826241
Mungu ibariki Chadema , taarifa zinaonyesha kwamba hata hiyo suti alishonewa na Chama
 
Kweli kabisa mama D. Ingekuwa rahisi angeibua kwanza ukoo wake wote... Mbowe na chama chake kinahitaji sana watu kuliko watu wanavyokihitaji chama.... hajafika level ya kujiinua.. CCM pekee ndo kubwa kuliko mtu mmojammoja. Hivi Mama D umeolewa?
Chadema sijui wanawazaga nini haki😂😂
Ndio diranqhe
 
Karibu sana Chama Cha Mapinduzi, vipi mzee wa kuchange gear angani hajaona la kujifunza kutoka kwa Mama? Ni wakati sasa apishe akili mpya amechoka sasa
Jiwe lishageuka sagika
 
Hapa ndio unapogundua akili za wanachadema zilivyo
Hivi unawezaje kuwaita watu utakaoenda kuwaomba kura kesho uchafu[emoji849][emoji849]?

Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Kahama wakija hawa mabwana msisahau kuwaambia kwamba uchafu hauwezi kuwapa kura
Pumbaf
 
Kashasahau alikotoka
Hivi mtu akikuibua kijiweni kwa mfano akakutafutia kazi lakini ukipata tu mshahara lazima apige panga hapo, ukigugumia kwa maumivu kuna kosa?!? Nilikuwa nawaza tu kwa sauti.
 
Back
Top Bottom