hayo uyasemayo ni kweli lakini je, tuache kukemea mabaya kwa vile wengine waliyafanya zamani? Je, kwa vile hata Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake, tuendeleze hiyo tabia au tuikomeshe?Hata Yesu alisalitiwa na wanafunzi wake, hakuna cha ajabu hii ni Africa mtu anaweza kumsaliti mama ake aliyemtoa tumboni