Weka wewe kama imekuchomaWeka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo, Mheshimiwa Lijualikali sasa angekuwa anajiandaa kugombea Urais 2025. Shame on you!!!
Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.Kila mtu ana sehemu na mikono anayopitia ili kufika mahala Mungu alipompangia.
Kumuibua mtu sio kwamba awe mtumwa wako,
comes aroundKweli, tenda wema uende zako - Mbowe kaibua wengi saana - wengine hata kuwata hapa ni aibu - wamemtumia yeye na CDM kama daraja.
Ila ipo siku watajuta - Dunia huzunguka jua na haijawahi kusimama - what goes around......
Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo.
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Kwa mfano huop sharti uwe na heshima kwa mwalimu wako. Usianze kusema alinitumikisha na kunipiga viboko. Kumbe hiyo ndio shule yenyewe. Wanakosea sana kusema Mbowe alitukata sehemu ya mishahara yetu kugharamia chama.Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.
Very right. Hebu imagine kama walimu wetu waliotufundisha chekechea nyimbo za ^zoom, zoom, zoom! Nuclear war!^ ^Maisha ya shule ni safari ndefu...^ ^Mimi najua kuhesabu moja mpaka kumi...,^ nao wangekuwa wanajimwambafai wakisema hivihivi kama hawa mifupa ya Ufipa.
Ni kweli. Mimi nimesoma na Zitto Kabwe. Mbowe alikuwa anakuja pale Chuoni mlimani, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi chumbani kwa Zitto na kumsaidia vitu vingi ikiwemo fedha ya kujikimu.Ndiyo maana Mbowe hazeeki sababu ya roho nzuri like Kikwete
Hata Yesu alisalitiwa na wanafunzi wake, hakuna cha ajabu hii ni Africa mtu anaweza kumsaliti mama ake aliyemtoa tumboniNi kweli. Mimi nimesoma na Zitto Kabwe. Mbowe alikuwa anakuja pale Chuoni mlimani, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi chumbani kwa Zitto na kumsaidia vitu vingi ikiwemo fedha ya kujikimu. Ndiye aliyempigania hadi akapata ubunge kule Kigoma. Makosa mengine anayofanya Mbowe ni kwa ajili ya kumsetiri mtu na aibu yake. Lakini mwisho anatukanwa kama mtoto mdogo. Nakumbuka sana alivyowasaidia akina Silinde na Matiko wakiwa wapo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam