hayo uyasemayo ni kweli lakini je, tuache kukemea mabaya kwa vile wengine waliyafanya zamani? Je, kwa vile hata Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake, tuendeleze hiyo tabia au tuikomeshe?Hata Yesu alisalitiwa na wanafunzi wake, hakuna cha ajabu hii ni Africa mtu anaweza kumsaliti mama ake aliyemtoa tumboni
Sasa wajibu wa aliyeibuliwa ni upi?Mbona Mbowe mwenyewe akiibuliwa na mkwe wake
Unamshabikia peter?Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo.
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Yaan ulicho andika hapa ni kama mlevi tuuu , kwa tunao ujua undani wa mbowe wala hatuna cha ku comment,Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo,
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Humfahamu Mbowe? Utakua upo kijijini sana aise. Hao ndio watoto wa hapo mjini, Hai wanaendaga tu kwasababu ni desturi yao Wachagga. Baba yake na huyu mwamba ni miongoni mwa watu waliomsaidia sana baba wa taifa, hata hilo jina lake Mbowe yaani Freeman, lina unasaba na uhuru wa bongo, babaye alitoa kama shukurani kwa Mungu baada ya jitihada zake kuleta uhuru na jamuhuri ya Tanzania. Uwe unatembea tembea na mjini mkuu, utanishukuru baadaeWeka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo.
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Nilitaka kusema jambo kuhusu wewe, lakini nakuheshimu sana. Pls tulia hivyohivyo, sawa!??? Hujaelewa chochote ambacho nimeandika. Afadhali ungeuliza maana uambiwe maana.Humfahamu Mbowe? Utakua upo kijijini sana aise. Hao ndio watoto wa hapo mjini, Hai wanaendaga tu kwasababu ni desturi yao Wachagga. Baba yake na huyu mwamba ni miongoni mwa watu waliomsaidia sana baba wa taifa, hata hilo jina lake Mbowe yaani Freeman, lina unasaba na uhuru wa bongo, babaye alitoa kama shukurani kwa Mungu baada ya jitihada zake kuleta uhuru na jamuhuri ya Tanzania. Uwe unatembea tembea na mjini mkuu, utanishukuru baadae
Huna cha kukomenti kwa vile kinatisha, siyo!???Yaan ulicho andika hapa ni kama mlevi tuuu , kwa tunao ujua undani wa mbowe wala hatuna cha ku comment,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majina Mengine yaogopwe....tena sio jua kali ni Lijua LiKali mambo yake lazima yawe ivo
PamojaUmeonaeeeeeee?
akili ndogoWeka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo,
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kukubwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!
Mmmmmm, dunia, kweli tenda mema, nenda zako
Point makini sana hii.Kila mtu ana sehemu na mikono anayopitia ili kufika mahala Mungu alipompangia.
Kumuibua mtu sio kwamba awe mtumwa wako,
Siyo mnafanywa hamna akili nyie ni mazezeta kabisa.Weka hapa pia jinsi huyo Mr Hai wenu naye alivyoibuliwa na wengine, sawa!??? Msitufanye hatuna akili. Usidhani asingemwona basi hadi leo angekuwa ground zero. Pengine kwa kitendo cha kuassociate na mtufaha wenu huyo,
Mheshimiwa Lijualikali amekwamishwa kukubwa kupiga hatua kubwa na muhimu; huenda asingekutana naye, sasa hivi angekuwa anajiandaa kuukwaa Urais 2025. Shame on you!