Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Mungu ibariki Chadema , taarifa zinaonyesha kwamba hata hiyo suti alishonewa na Chama
 
Kweli kabisa mama D. Ingekuwa rahisi angeibua kwanza ukoo wake wote... Mbowe na chama chake kinahitaji sana watu kuliko watu wanavyokihitaji chama.... hajafika level ya kujiinua.. CCM pekee ndo kubwa kuliko mtu mmojammoja. Hivi Mama D umeolewa?
Chadema sijui wanawazaga nini haki😂😂
Ndio diranqhe
 
Karibu sana Chama Cha Mapinduzi, vipi mzee wa kuchange gear angani hajaona la kujifunza kutoka kwa Mama? Ni wakati sasa apishe akili mpya amechoka sasa
Jiwe lishageuka sagika
 
Pumbaf
 
Kashasahau alikotoka
Hivi mtu akikuibua kijiweni kwa mfano akakutafutia kazi lakini ukipata tu mshahara lazima apige panga hapo, ukigugumia kwa maumivu kuna kosa?!? Nilikuwa nawaza tu kwa sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…