Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

Tatizo wakikusaidia wanataka uwe mtumwa wao kila kitu 'ndio, ndio, ndio,' uvumilivu ulinapofikia kikomo wanaanza kumsimanga, hii ndio tabia iliopo Chadema. Hakuna anayetoka Chadema bila kusimangwa, hebu washughulikie ya wale 19 haya mengine wawache wafaidi matunda ya kuibuliwa
 
Huyu ni kijana hovyo na mshenzi sana. Anatukana babake ili tu jirani amkubali na kumpa ugali!!!? Asipoomba radhi ugali wa jirani utamvimbia tumboni.
 
Huyu ni kijana hovyo na mshenzi sana. Anatukana babake ili tu jirani amkubali na kumpa ugali!!!? Asipoomba radhi ugali wa jirani utamvimbia tumboni.
Anapotoshwa na mkwewe ambaye ni subwoofer ya bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…