Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Sukuma gang walitaka kumtumia Lisu kumshambulia Samia lkn Lisu ameamua kuwa mkweli kwa kuongea ukweli kuwa jiwe alikuwa mwizi. Sukuma gang wamefura. Ama kweli ukweli unauma.
Sukuma gang wote sasa hivi wamelainika utadhani kuku wa kizungu.
 
Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.

Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa haya yanamuondolea utulivu wa kiakili na kimwili na hivyo kuwa ni kituko mbele ya jamii.

Ushauri wangu:
Mnyika na Mbowe ni muhimu kufanya intervention ya haraka ya kumsaidia ikibidi kumpeleka hospitali na kumuepusha na mazingira yenye stress.

N.B :Huwezi kumkashifu legend Magufuli mbele ya watanzania ukategemea usikilizwe.
Mikutano imedoda na kiki zimegoma.
Pole mjane wa Magufuri historia yake ilishaandikwa kwa mazuri yake na mabaya yake,kama hukuona mabaya yake wale woote waliotendewa vibaya na Magufuri wana haki ya kumsema japo alishakufa.
 
Pole mjane wa Magufuri historia yake ilishaandikwa kwa mazuri yake na mabaya yake,kama hukuona mabaya yake wale woote waliotendewa vibaya na Magufuri wana haki ya kumsema japo alishakufa.
Yaani mnatumia Ruzuku kumsema Magufuli...wahedi kabisa .Fanyeni Siasa za maendeleo sio porojo za kutukana viongozi.
 
Yaani mnatumia Ruzuku kumsema Magufuli...wahedi kabisa .Fanyeni Siasa za maendeleo sio porojo za kutukana viongozi.
Yaani unaumia sana umesahau kuwa Magufuri hakuwa Malaika wala Yesu kwa nini ufiche maovu yake kwa kisingizio cha Viongozi.
 
Lisu ana ugonjwa wa akili ndiyo maana mbowe aliona mwanya wa kumuua kwa risasi ili afe kwa sababu ya kuropoka kwake ili goma liwe na awamu ya 5. Halafu mbowe gaidi huyu akaja akalipa watu hela wakajifanya usalama wakaenda kutumia deep fake video wakamtumia clip eti Dkt Magufuli aliamrisha auawe, yaani huu mchogo fake lisu kauamini
makuwadi ya dpworld lissu kawapiga dawa mpaka akili zimewaruka na bado lissu ongeza dawa haya mapumbavu yapone haraka maana yanaugonjwa bado.
 
Back
Top Bottom